It's funny,isn't it?

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,709
Ulikuwa haumfaham miaka michache,au pengine wiki au siku chache zilizopita,halafu leo unasema hauwezi kuishi bila yeye,unashindwa kula na kulala,very funny!!!!
 
ujinga tu wa mapenzi.

Sio ujinga....rather artwork.....
Umeweza kuishi zaidi ya robo karne bila kumwona wala kujua kama ana-exist......halafu unashindwa kuishi bila yeye....damn!
 
Wengi wanapenda kuwashika wapenzi wao kukujifanya ni wadhaifu kwao. Ukweli ni kwamba wapenzi wenyewe ukubali hili bila kutafakari, hivyo sio vibaya kama litaendelea kuwa fimbo ya mapenzi mpaka pale watapo shituka.
 
ujinga tu wa mapenzi.
LOL

Ni unafiki wa mapenzi,maneno ya kudanganya,watu wa hivyo kwa mpango wa kando balaa tupu
Mh.................

Sio ujinga....rather artwork.....
Umeweza kuishi zaidi ya robo karne bila kumwona wala kujua kama ana-exist......halafu unashindwa kuishi bila yeye....damn!
Eh.......................

Wengi wanapenda kuwashika wapenzi wao kukujifanya ni wadhaifu kwao. Ukweli ni kwamba wapenzi wenyewe ukubali hili bila kutafakari, hivyo sio vibaya kama litaendelea kuwa fimbo ya mapenzi mpaka pale watapo shituka.
LOL

Wajameni while nakubali kuwa wengi huwa wako kikazi zaidi yaani ni wasanii kwa kutaka kukufanya uamini kuwa unapendwa but wako wachache ambao huwa wana maanisha hilo walilosema. Hawa mara nyingi ni wale ambao kweli wamehisi kuwa wamepata faraja, pumziko na mpenzi wa maisha yao, ni wale ambao wanakuwa wame'bwaga' moyo kiukweli na kupenda kiukweli (Si tunaamini kuna true love jamani?).

Sasa mtu wa hivi mara nyingi hutamka lililomo moyoni mwake, ingawa haiwi advisable kumjulisha mwenzio udhaifu wako lakini pia si vibaya akajua kuwa unampenda kiasi gani...... ingawa pia tunatakiwa kuangalia aina ya maneno tuyatumiayo kuelezea hisia zetu.

Hata hivyo maneno kama haya mara nyingi yakitolewa kwa maana halisi basi mtu huyo huwa amependa mpaka amefikia katika stage ya denial......(ile ya kupenda kwa moyo na kuiacha akili itawaliwe na hisia) yaani anaamini kabisa yeye kama yeye hawezi kitu bila wewe........na ndio maana tunashuhudia wengine mambo yakienda kombo hufikia hata hatua ya kujitoa uhai jamani ah!! Si kila mpenzi ni msanii wapendwa!!

Mi nawapenda tu bana ila kushindwa kuishi bila ninyi sitawaongopea!! LOL
 
Kwa hiyo mfano kwa bahati mbaya umepata ajali na ukafa , na yeye ataacha kuishi?! Aneyekwambia hivyo lazima anataka kukuibia tu!!
 
Kwa hiyo mfano kwa bahati mbaya umepata ajali na ukafa , na yeye ataacha kuishi?! Aneyekwambia hivyo lazima anataka kukuibia tu!!
MwanajamiiOne hebu jibu hili,true love haina maana uwe mtumwa wa hisia,kushindwa kuishi ni utumwa wa hisia pamoja na ujinga sio true love!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom