wewe humfahamu vizuri ,namfahamu tangu anasoma azania alikuwa headboy wa pale .ni kujipendekeza kwa walimu na ubinafsi.kama unakumbuka mwaka 2004 udsm aliuza vyumba nusu ya vilivyopo,watu walitaabika sana napenda upinzani lakini kwa mwita hapana ,hapana,hapana .bora rostam kuliko mwita waulize...
Huyu jamaa hamna kitu ni msaliti.namfahamu vizuri alikuwa rais wa daruso.alitufanya tusilale kulinda kura ,lakini alivyopata ndiye kiongozi aliyeboronga kuliko wote hafai hata kidogo.ni mbinafsi wa hali ya juu wala si mtetezi kama mnavyodai.poleni kwa kumshabikia mtu bila kumjua.muulize mtu...
mimi naona ccm haifai kulaumiwa ikiwa hata jina la katibu wa chama halipo katika orodha ya wanachama na tendwa sehemu alizopita hamna hata ofisi ya makuti ya ccj.Hichi ni chama cha vyombo vya habari (kifupi ni waganga njaa kama mtikila)
mimi naona rais anafaa kuendelea hata kwa miaka kumi anajitahidi vya kutosha na kama kuna uwezekano awe rais wa maisha.anaonyesha jitihada ya kutosha kwa wananchi wake viva kikwete na ccm juu tawala milele hamna kama sisi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.