FIFA Confederations Cup 2009

Oxlade-Chamberlain

JF-Expert Member
May 26, 2009
8,635
2,198
AMatchDate - TimeVenueResults114/06 16:00Johannesburg South Africa0:0Iraq 214/06 20:30Rustenburg New ZealandPreviewSpain 517/06 16:00Mangaung/Bloemfontein Spain-Iraq 617/06 20:30Rustenburg South Africa-New Zealand 920/06 20:30Johannesburg Iraq-New Zealand 1020/06 20:30Mangaung/Bloemfontein Spain-South Africa Group BMatchDate - TimeVenueResults315/06 16:00Mangaung/Bloemfontein BrazilPreviewEgypt 415/06 20:30Tshwane/Pretoria USAPreviewItaly 718/06 16:00Tshwane/Pretoria USA-Brazil 818/06 20:30Johannesburg Egypt-Italy 1121/06 20:30Tshwane/Pretoria Italy-Brazil 1221/06 20:30Rustenburg Egypt-USA

nimeona sio mbaya kukumbushana kwani kwa wana soka kipindi hiki ligi zote zimesimama mechi zinaweza kutusaidia .
 
Last edited:
Naona Bafana wamechemsha! Na TBC nao wamechemsha matangazo dakika za mwisho.
 
mie namlaumu kocha wa south africakwa kumueka bench steve pienaar na sijui kwanini kaja kumuingiza dakika 6 za mwisho.na kama ana fatigue si angempa hata dakika 30 za mwisho? hile ndio chance waliokuwa nayo na game ya new zealand.
 
mie namlaumu kocha wa south africakwa kumueka bench steve pienaar na sijui kwanini kaja kumuingiza dakika 6 za mwisho.na kama ana fatigue si angempa hata dakika 30 za mwisho? hile ndio chance waliokuwa nayo na game ya new zealand.

Tusiwe wepesi wa kulaumu walimu, Pienaar ni mgonjwa alipata tatizo la ankle siku moja/mbili kabla ya mchezo.
 
Naona Brazil anamchezeshea kichapo Egypt dakika ya 52 Brazil 3-1 Egypt. Kaka amefunga goli la kwanza.
 
Naomba fainali wakutane Brazil na Spain tuone soka ya burudani
 
Waarabu wamerudisha 3-3 dakika ya 75 Brazil wakikaaa vibaya wanapigwa bao
 
KAKA nafunga penati dakika ya 90 na beki wa Misri anapewa kadi nyekundu
 
Not bad, lakini Egypt wamecheza mchgezo mzuri sana poamoja na kufungwa. Brazil wajkiangalie sana
 
Back
Top Bottom