Jay Z, Beyonce and Rihanna are DEVIL WORSHIPERS

Lady Gaga and Christina Aguillera behave like they are possessed by the devil. halafu hizo "satanic" signs wanafanya na mikono using the small and index fingers wabongo nao wanaiga!!
 
hata wewe mwana JF unapokula rushwa ofisini na kukosesha watu wengi haki flani..unapotembea na mke/mme wa mtu unapofanya mapenzi na vibinti/vijana wadogo,unapoiba,na mengineo unakuwa huna tofauti tu yote ni kuabudia yale yanayohimizwa na shetani
 
Rumour has it that PDiddy and Jay Z are free Masons, and that there is a lot of blood sacrifice in show biz. eg Aaliyah, Lisa Lopes wa TLC just to name a few.
 
huwezi kuandika mpaka uhusishe na mambo ya dini kuwa mstaarabu.kila comment lazima upondee upande mwengine.Toa mawazo sio kashfa.jirekebishe

don't judge me withotu reading the post i quoted, angalia alichosema junius halafu ndo uone nilivyokuwa namjibu...ok? kwani kuna udini gani nimeongelea hapo?..mimi nilikuwa nasema watafunguka lini wanaoenda kwa waganga wa kienyeji na wasoma nyota kama kina shehe yahya, sasa dini gani imeguswa hapo? halafu unaonekana mvivu kusoma, angalia post za wengine wote halafu angalia na ya kwangu ina tofauti gani...kama una allergy na maandishi twambie...
 
Nilikua na discus na watu fulani kuhusu hili swala, na wengi wao wakawa wanasema so what kama hao ma star ni devil worshipers, wao wanapenda miziki yao tu sio imani zao.
Sasa thats where the problem is. Mtu anaona hakuna harm yeyote ya kumfagilia devil worshiper na miziki yake bila kujua subconciously inamua affect sana. Tena effect inayoonekana haraka sana na kwa wazi sana ni kwa watoto wadogo.
Mtu yeyote anayekaa mjini hususan dar-es-salaam na kutembelea majumba ya starehe na sehemu za starehe, au kua karibu na mdogo wake au mwanae wa rika la kuanzia 15 hadi 25 atashangaa kuona mmomonyoka wa maadili ilivyosambaa katika society yetu.
Hii haishii hapo tu, bali pia ufisadi, ubadhilifu wa hela na miozo mingine mingi tunayolalamikia serikali yetu ni direct result ya viongozi na jamii ku idolize watu wenye misingi ya mibovu na ya kishetani.
Their emphasis on wealth and promescuity ndizo zinazofanya viongozi wakusanye mabilioni na kuyaita "vijisenti" na ngono na watoto wadogo kuiita ni tabia za "kiherehere".
 
Mbona hizi zoooote Yahaya Hussein ameshawaelezeni zamaani sana...!

there you are!i have just gone thru those links vitu vinavyoongelewa hamna tofauti na anayoongelea mzee yahya hussein tofauti ni lugha otherwise wote wanaamini katika symbols mbalimbali wanazoamini ndo zinatawala ulimwengu kuelekea ktk mafanikio.Mungu atuepushe na shetani!
 
Nilikua na discus na watu fulani kuhusu hili swala, na wengi wao wakawa wanasema so what kama hao ma star ni devil worshipers, wao wanapenda miziki yao tu sio imani zao.
Sasa thats where the problem is. Mtu anaona hakuna harm yeyote ya kumfagilia devil worshiper na miziki yake bila kujua subconciously inamua affect sana. Tena effect inayoonekana haraka sana na kwa wazi sana ni kwa watoto wadogo.
Mtu yeyote anayekaa mjini hususan dar-es-salaam na kutembelea majumba ya starehe na sehemu za starehe, au kua karibu na mdogo wake au mwanae wa rika la kuanzia 15 hadi 25 atashangaa kuona mmomonyoka wa maadili ilivyosambaa katika society yetu.
Hii haishii hapo tu, bali pia ufisadi, ubadhilifu wa hela na miozo mingine mingi tunayolalamikia serikali yetu ni direct result ya viongozi na jamii ku idolize watu wenye misingi ya mibovu na ya kishetani.
Their emphasis on wealth and promescuity ndizo zinazofanya viongozi wakusanye mabilioni na kuyaita "vijisenti" na ngono na watoto wadogo kuiita ni tabia za "kiherehere".

Sasa kama watoto wamekosa maadili wa kulaumiwa ni mzazi au msanii anayeimba?
 
kwa jay z ni clear ni freemason, angalia album maalum alizotoa katika kusambaza imani yake ni
1. blueprint 1 album - alipopata degree ya kwanza ya freemason
2. blueprint 2 album - alipopata degree ya pili ya freemason
3. blueprint 3 album - alipopata degree ya juu kabisa ya freemason

katika wimbo wa ''we run this town'' katika album ya blueprint 3 alifanya masonic ritual aki depect wakati wanapata degree ya 3, ritual wanayofanya, kuna mtu amevaa kinyago cha fuvu chini kina mifupa na ameshika tochi mkono was kulia, ile ni important ritual wakati wa ibada zao watu wa freemason hasa wakati wanamkumbuka ''hiram abiff'' ambaye ndio msingi wa imani yao!
 
jamani mimi nataka kujiunga na freemason , je hapa Tanzania wapo mawakala wao ? je naweza kuwapata wapi hapa mjini.
 
jamani mimi nataka kujiunga na freemason , je hapa Tanzania wapo mawakala wao ? je naweza kuwapata wapi hapa mjini.

Muzee u r joking right?

Mason ni secret society na inabidi uwe na status flani .. Sio open NGO..lolz
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom