Recent content by mohamedi-2

  1. mohamedi-2

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kunatetesi nimesikia kua mnampango wakuweka umeme kwanjia ya vocha Kama tunavyonunua ving'amuzi kua hatakama upombali nanyumbani kwako ukiingiza tu umeme unaingia je nikweli?
  2. mohamedi-2

    JamiiForums Tanzania Je, huyu ni nyoka aina gani?

    Hana sumu
  3. mohamedi-2

    JamiiForums Tanzania Nina mpango wa kujitengenezea "Fake Death"

    Hiyo kitu kunajamaa yangu aliitengeneza ilimsaidia katika madeni aliyokua akidaiwa ilimfanya awe huru mpaka Leo kilichotokea huyu jamaa yangu alikua nimuuzaji wamagari yaliotumika hapa dar maranyingi wateja wake niwatu wamikoani alikua anakuja kununua Gari dar kisha anaingiza kwenye mitandao...
  4. mohamedi-2

    JamiiForums Tanzania DAR: RC Makonda aondoa kipengele cha usafi wa Jumamosi uliokua wafanyika kuanzia saa 12 hadi 4 asubuhi

    Wemesha tengeneza chanzo kipya cha mapato mtakuja muamini ninacho waambia nikama alipo anzisha kukamata waosha magari pembezoni Mwa barabara aliutunisha mfuko WA tanroad
  5. mohamedi-2

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Taifa Muhimbili hushikilia maiti hadi deni lote lilipwe. Maiti zitokazo ICU deni hufikia hata zaidi ya 5mil

    Yalisha nitokea katika familia yetu ilitubidi tulipe ml.2.8
  6. mohamedi-2

    JamiiForums Tanzania Kamata kamata ya TANROADS, tuoneeni huruma

    Huu nimradi WA bashite kama mnakumbuka alitoa agizo lakuwakamata walewote wanao osha magari pembezoni mwa barabara ilikua ndio anatengeneza kiwanda sasaivi kinamzalishia faida tu hapa naandika nipokwenye daladala nakwenda kuikomboa gari yangu nimetakiwa laki3 inaniuma sana nazaidi yasana ila...
  7. mohamedi-2

    JamiiForums Tanzania Je, Polisi washitakiwe kusababisha vifo kizembe vya random shootout? RIP Aqulina Akwilini, Baftaha, She is an Angel!

    Wewe hujielewi hatakidogo huyu Dada alikua kwenye daladala nyambav
  8. mohamedi-2

    JamiiForums Tanzania Polisi yakiri kupiga mtu risasi maandamano ya CHADEMA

    Aminini nawaambia inchi imeshaingia katika kipindi kigumu sana na tumeshawapa nafasi wazungu kuingilia kati hilijambo sizani kama tutakua Salama ila yote nikwasababu ya watawala washamba ndio wametufikisha hapa
  9. mohamedi-2

    JamiiForums Tanzania Kutoka Checkpoint, Pugu: Aliyekuwa mgombea Ubunge jimbo la Ilala 2015 kupitia CHADEMA, Muslim Hassanali ajiunga na CCM

    Halafu wanasema siasa mpaka 2020 hii nimiujiza inayopatikana tz pekee duniani
  10. mohamedi-2

    JamiiForums Tanzania TRUE STORY baada ya kuokota sh mia nimeanza kuvimba majipu mwili mzima

    Nakupa tiba ila niuchawi unajitubu na ugonjwa una uhamishia Kwa MTU mwengine ila nawewe umehamishiwa namtu sasa chakufanya uwepo nashilingi mia jikamulie jipu na hiyo pesa ikiwa na usaha wake nenda ukaitupe popote ambapo inaweza kuokotwa ikiokotwa tu umepona naugonjwa unahamia kwahuyo alie...
  11. mohamedi-2

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari la kununua

  12. mohamedi-2

    JamiiForums Tanzania Mnangagwa aanza kazi: Waziri wa Fedha afikishwa mahakamani

    Dk. Mpango nae ajitathimini
  13. mohamedi-2

    JamiiForums Tanzania Harufu ya kutisha Ukonga Banana

    Hiyo nigari yataka inayotokea feri inapita kuelekea pugu kila siku mida yake ni saa2 usiku Mimi naishi banana pia
  14. mohamedi-2

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Toyota hilux 2.8 diesel

    Gari inapatikana wapi
Back
Top Bottom