randez vous
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 890
- 623
Mkuu tunasubiria majibu magumu kutoka kwako!Majibu mepesi sana zaidi ya unyoya wa jogoo.
Pathetic!
Mkuu tunasubiria majibu magumu kutoka kwako!Majibu mepesi sana zaidi ya unyoya wa jogoo.
Pathetic!
Ndiyo Maajabu ya awamu ya tanoMbona jibu jepesi sana kamanda ametoa!??? Amepigwa na risasi zilizokuwa zinapigwa hewani!?????
Huyo aliepigwa risasi nae alikuwa hewani!??
Kwa nini mnapenda kuvuruga Amani na kufanya Uchochezi nyuma ya keyboard? Jitokeze mbele ya vyombo vya habari na kuutangazia umma hivyo.Magufuli haelewi kuwa damu ya huyu mtoto aliyeuawa na polisi wa chama chake yaweza kuwa na nguvu kuliko yeye, hao polisi na majeshi yake yote
Mbowe ndiye amempiga risasi huyo binti??Mbowe kila siku anapenda kusababisha mauaji wa watu kwa maandamano yasiyo na tija
Kwa hiyo kudai haki Tanzania ni kosa,hivi NATO wako wapi waje tz waondoe uchofu huuMbowe kila siku anapenda kusababisha mauaji wa watu kwa maandamano yasiyo na tija
Majibu ya huyu kamanda yanakera sana.....pia waandishi Wa habari bila shaka hawajui kuwahoji hawa madubwanaItakua Marehemu alijigeuza Shoro-Bwenzi akawa anapaa hewani ndio akakutana na risasi
Kwenda zako, wewe unashindwa kujitokeza?Kwa nini mnapenda kuvuruga Amani na kufanya Uchochezi nyuma ya keyboard? Jitokeze mbele ya vyombo vya habari na kuutangazia umma hivyo.
...[emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] risasi ilipigwa angani wakati inarudi chini ikauwa...Mbona jibu jepesi sana kamanda ametoa!??? Amepigwa na risasi zilizokuwa zinapigwa hewani!?????
Huyo aliepigwa risasi nae alikuwa hewani!??
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Mbona jibu jepesi sana kamanda ametoa!??? Amepigwa na risasi zilizokuwa zinapigwa hewani!?????
Huyo aliepigwa risasi nae alikuwa hewani!??
Duuh kumbe kiswahili kipana sana mkuu. Lakin bado amekimbia kujibu kwa hojaHewani sio angani hata hapo ulipo ni hewani.
Hawa waandishi wetu hawajui kuhoji mkuu!??Ndiyo Maajabu ya awamu ya tano