NGERESHAA
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 1,299
- 1,809
KiruuuMbuta!
KiruuuMbuta!
HahahaKama ni kweli mkuu naomba tufanye biashara....
Siku utakayorudi naomba uniambie nije nikufufue katika wafu#
Anza kwa kufake kuzimia kwanza..ikiwork out ndo ufake death..Don't just jump into faking a deathHabari za jioni wanajamvi natumai nyie wote ni wazima nijielekeze kwenye maada
Kunastuation flani ambayo ninakabiliana nayo naili kufanikiwa kwa usahihi na bila kuharibu na kuvuruga utaratibu mzuri inanibidi kutengeneza kifo (Fake Death) ili kuwaaminisha baadhi ya watu kuwa nimekufa ili niwe huru kufanya baadhi ya mambo nitareta mrejesho soon
=====
Wakuu habali za leo ninapenda niwashukuru wote mlio changia uzi wa kwanza but ni hivi lile swala nimelifanikisha naishukuru timu nzima walio fanikisha hili swala saivi niko holiday Iceland baada ya mapumnziko nitarudi kuendelea na swala lililonifanya nifake death msiba ulifanyika mbeya jumatatu najua kunawatu wameumizwa but I will back again
UnatakaDah! Mkuu una moyo mgumu sana...hongera inaonesha ukiamua jambo unaweza kwa namna yoyote ile Personality: Machiavellianism - JamiiForums
Na ni bora mengine mtu usiyajue kabisaDaaah duniani kuna mambo mazito
Tulia wewe hayakuhusuHivi humu Jf hakuna watu wa Mbeya waliohudhuria humo msiba. Yaani jitu linajisifu ujinga!
Ole wako kama umeua mtu mwingine kujifanya ndio wewe!
[emoji23][emoji23] watu kwa fursa duuhKama ni kweli mkuu naomba tufanye biashara....
Siku utakayorudi naomba uniambie nije nikufufue katika wafu#
Hapana mi hiyo stage bado sanaUnataka
Uliyaleta humu ya nini!?Tulia wewe hayakuhusu
Kwani nilikuletea weweUliyaleta humu ya nini!?
Vyuma vilegezwe tu kwakweliKama ni kweli mkuu naomba tufanye biashara....
Siku utakayorudi naomba uniambie nije nikufufue katika wafu#