Recent content by Mocrana

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nikiuliza matumizi mbona anakuwa mkali

  2. M

    JamiiForums Tanzania TALA yakimbia Tanzania, yafunga ofisi zake

    Nilisikia kuwa huko Kenya kuna kijana alikuwa anafanya kazi upande wa IT alifuta data zote sasa sijajua hawakuwa na backup
  3. M

    JamiiForums Tanzania TALA yakimbia Tanzania, yafunga ofisi zake

    Mi nilisikia huko Kenya kuna kijana mfanyakazi ambaye ni IT nilifuta
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekutana na mwanamke wa ajabu, naanza kuingiwa na hofu walimwengu nisaidieni

    aisee spiritual wife ni shida sana, hongera kwakuwa umefanyiwa deliverance ulimwengu wa roho ni halisi kabisa wanobeza hayajawakuta, na wengine wanao spiritual wife ambao hawajaja physically kama wewe alivyokuja wengi wanaota ndoto zakufanya mapenzi lakini wanadhani nikawaida. usirudi nyuma...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Biashara ya Forex, Ujasusi na yaliyo nyuma ya pazia

    Inategemea ni version ipi
  6. M

    JamiiForums Tanzania Forex Seminar - Arusha

    Je wewe ni mkazi wa Arusha na ungependa kupata ABC kuhusu FOREX? tarehe 12/01/2018 New safari Hotel kutakuwa na semina ambayo itaendeshwa na TAHIR KHAN aka STRYKER kutoka UK. semina hii ni bure! unachotakiwa kufanya ni ku reserve siti kupitia www.stochasticafrica.com! note: uje na...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hali mbaya: Makampuni ya simu yaanza kupunguza wafanyakazi. ITV yasogeza mishahara mbele

    Hili nalo litapita tu, na mambo yatasonga
  8. M

    JamiiForums Tanzania AG Werema alishastaafu utumishi wa umma kwa mujibu wa sheria

    duuuu, Tanzania zaidi ya uijuavyo
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania

    mmmmh ndo nasikia leo
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeumia sana

    dada maisha yanaendelelea yeye si Mungu bwana achilia huo mzigo myoni mwako, mpende mwanao, fanya kazi kwa bidii, kama ni kosa lilishafanyika kung'uta fumbi songa mbele mama, yaani bado unamfuatilia tuu hadi fb wanini huyo, kwanza anaonekana bado hajakua kiakili hata angekuwa mume wako ungekuwa...
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Do what you can do, but don't trust a woman

    umeona eeeh, yaani hadi mama yako mzazi? sijui inawezekana yeye mama yake alivyomzaa akamtupa ndo mana, MAMA atabaki kuwa mama tu, hakuna mwanaume anayeweza kuvumilia anayovumilia mwanamke, kwasababu wewe ni mwanaume hutakaa ujue.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Pongezi IPP Mtaingia kwenye Kumbukumbu za ukombozi wa Taifa hili

    kuwadi muhongo wapi Olesendeka
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kafulila,Tibaijuka live Star TV

    hahha ilikuwa vise versa mkuu
  14. M

    JamiiForums Tanzania The prestigious Anne Tibaijuka atajwa kwenye kashfa ya IPTL

    watu wanachange bwana
  15. M

    JamiiForums Tanzania Polisi ang'olewa meno sita Shinyanga

    si mchezo hiyo ilimuua goliathi
Back
Top Bottom