Recent content by moannah

  1. moannah

    JamiiForums Tanzania Serikali toeni hizo Combination za Dini hii siyo nchi ya kidini

    Waislam wanafundishwa kwamba wakristo ni makafiri na bado mnataka hao wanafunzi wakimaliza religion session wakae pamoja hivi mnaona hapo kutakuwa na amani tena.vilevile dini sasa ivi imeleta mitume feki na manabii feki mfano mzur ni kenya ambapo dini zimegeuka biashara na mtu akijiingiza kwenye...
  2. moannah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama ana 7 kati ya haya 10. Oa tu mkuu, hakuna tatizo

    Mm ni 10/10 ila sina ht uyo mume zaid zaid wanaume wananiogopa
  3. moannah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatimaye nimempata!

    Nlitaka kuandika kitu ila basi,hongera mkuu😂😘
  4. moannah

    JamiiForums Tanzania Nani ameshawahi kupata Kazi au internship kupitia TaESA (Tanzania Employment Agency)?

    Nna Miezi mi 4 now ,kuitwa pia ina depend na demand kwa muda huo maana mm nlifanya interview Taesa baada ya siku 1 0 nikaitwa nikafanye Tena interview bank na baada ya wiki nikaitwa nianze kazi kabisa.Kuna mwenzangu wa Zanzibar aliitwa aanze kazi baada ya siku 3
  5. moannah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uliwezaje kuvuka maisha ya upweke na usingle?

    una hakika mm naww sio ndugu kwel [emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
  6. moannah

    JamiiForums Tanzania Nani ameshawahi kupata Kazi au internship kupitia TaESA (Tanzania Employment Agency)?

    Hawa jamaa Hawana matabaka hata mm nmepata intern benki X bila kujuana na mtu yoyote
  7. moannah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimetoka kutafuna mbususu ya mwanamke niliyemdanganya kuwa nafanya kazi benki

    Hapo kwenye kitita [emoji81][emoji81][emoji81]mbavu zangu mm
  8. moannah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ulitumia uongo gani kumpata demu?

    Mbavu zangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  9. moannah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mimba ya tajiri ukijinyoosha mgongo tu inatoka. Lakini ukibeba ya mlalahoi hata uangukiwe na ukuta haitoki

    Daaah nmecheka kinoma [emoji23][emoji23][emoji23]
  10. moannah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wa Babati ni wazuri kuliko uzuri wenyewe halafu hawaringi wala

    Mbona mikono ya ndoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  11. moannah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dada tuliekutana Mwenge please nitafute

    Ukiwapata unitag [emoji23][emoji23]
  12. moannah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kijana kuwa makini, mahusiano ni kama pepo au jehanamu yako

    We jamaa sijui unawaza nn [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  13. moannah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tumia hii Sala ya kuomba Mchumba Mwema: Utapata matokeo mazuri na utanishukuru

    Ameen [emoji120]
  14. moannah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namna ya kupunguza upweke nyumbani

    Najua itafika muda ntahitaj Watu Ila kwa sasa ivi naogopa watu
  15. moannah

    JamiiForums Tanzania Je, unapaswa kubadili shuka mara ngapi?

    Siku 3 ikizid sana ni 4
Back
Top Bottom