moannah
Member
- Jun 20, 2023
- 79
- 123
janamke fulani hivi shankupe lililoshindikana! nikaona hili bili itifaki za mzee faki silipati! halahala kama kikaangio cha chapati..
nilivyomshenzi wa tabia baada yakupata namba yake nikaanza kujisifu kuwa mimi ni fundi chupi!, mwanaume hasidi niliefundwa kwenye unyago wakinyamwezi! sio tu kwamba ni mbobezi wakukobea bali pia ni fundi wakuchelewesha!..
kama ni mpira basi mimi ni namba ile chafu ambayo ushindi lazima upatikane kwangu!,nikajitapa kuwa mimi ndie msubiriaji nisiekojoa kabla hajakojoa!..
si akadata siku yatukio ilikuwa ni tako tatu wazungu chwaa!.. shangingi hana shipa la siri siitwi tena fundi wakuchelewesha bali fundi chwaa!
Mbavu zangu




