Recent content by MOAAL

  1. MOAAL

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mchele

    Hiyo bado, nauza tuu reja reja mkuu karibu
  2. MOAAL

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mchele

    Wakuu karibuni nauza mchele super kabisa kutoka mbeya kyela,kwa bei ya tsh 2000/kg na tsh 2200/kg nakuletea popote ndani ya dar kuanzia kg 50. Napatikana msasani karibu na msaani shopping mall or ubalozi wa marekani. Ukihitaji nicheck kwa namba 0685 993 994. Asante karibuni
  3. MOAAL

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada watumishi wasio na ndoa hivi mna nini?

    wanatoka povuu jingi wakati furaha zipo nyingi sana, hao walioolewa mbona naona wanalia kila siku. Watu wanaishi ishi hawajielewi ndoa ni za vizazi vilivyopita now days hakuna ndoa bali kuna maigizo ya ndoa. Kama ninauwezo wangu mwenyewe unadhani kwa nini nikanyanyasike na mijitu isiyo na utu...
  4. MOAAL

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wangu anatoka kimapenzi na mama yangu, nimeona meseji za mapenzi kwenye simu ya mume wangu

    Duuh wanaume tuoneeni huruma jamani mtatuua kwa presha Pole sana dear, ila cha muhimu ni bora ukajitenga kabisa na hawa watu, kaa mbali nao. Mungu akupe nguvu na mwanga wa kutatua hili AMEN
  5. MOAAL

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada watumishi wasio na ndoa hivi mna nini?

    Jamani embu mtuachee tumewachokaa
  6. MOAAL

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

    Ni kweli kabisa,umenena vyema
  7. MOAAL

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wapenzi wanaumizwa kila mara?

    mapenzi yamekuwa janga la kitaifaa kila kona maumivuu
  8. MOAAL

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Girls wenye makalio makubwa ni wazuri kuwatazama tu

    Mmmh hapa napita tuuu
  9. MOAAL

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ananishangaza sana

    Hisia tu ndio zikufanye uwaze yote haya. Kulipiza ndio solution ama. Dunia kwa sasa nadhani si mahali salama pa kuishi.
  10. MOAAL

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nisadieni ndoa yangu inavunjika

    mbaya zaidi ukute hana hata nyumba shida hizi
  11. MOAAL

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa aina hii wanakera, wanakwaza

    Polee mkuui
  12. MOAAL

    JamiiForums Tanzania Najisikia huzuni moyoni mwangu

    Huyu nae hajielewi,nadhani anatafuta umaruufuu
  13. MOAAL

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakuna awali mbovu

    Mmh huyo ex wako lzm kuna tatizo some where si buree
  14. MOAAL

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina mimba ya rafiki wa mume wangu, nifanyeje?

    Hivi ni kwa nini mnaolewa huku starehe bado mnazipendaa??? Huyo mumeo akirudi hata roho haikuumi hata kidogo? Ifike mahali tumweshimu Mungu alie waunganishaa
  15. MOAAL

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina mimba ya rafiki wa mume wangu, nifanyeje?

    Very stupid!! Cjui kwa nn mnaolewa huku hamjui kuheshimu ndoa
Back
Top Bottom