50 percent right... Lakini hujazungumzia ma cowboy ambao huwarubuni mabinti Hawa then dump them kama uchafu at the end of the day.
Jamani embu mtuachee tumewachokaa
Wanawake wengi hupenda kudanganya ili waonekane viwango vyao vipo juuu. Madada wengi ktk maofsini wengi wamekuwa kama machangudoa unamkuta anatembea na watu tofauti uku wakiwadharau kwamba awo sio saizi yaoMimi kazini kwetu kuna wadada kama watano hivi wanaishi kwa hizo drama. Wanaishi kwa ndoto za kuolewa na wafanyakazi wa bank, TRA n.k huku wakitukataa walimu wenzao. Sasa na sisi tumeamua kuachana nao huku tukiamini baada ya muda mfupi tutawaita single mums
....kweli mkuu,....mdada anaajiriwa yupo fresh, anatokea kijana anawaita washkaji anawaambia mazee huyu duu nataka niweke ndani msicheze rafu.
Jamaa anamtokea mtoto anamwaga mtongozo wa haja, anamsaidia au kumfundisha kazi, lunch anamtoa, demu bichwa hilo! Anamzungusha mshikaji wee, mara mnasikia meneja nae anarusha ndoano....mnatafuta mdada hapo job mnamtuma kwa duu ashtuliwe kuwa meneja ni chapa ilale, ashaharibu future ya wengine kama yeye....huku na huku demu kaliwa na meneja....msela kawa mdogo kama piriton.
Kwa unyonge msela anaachia ngazi....baada ya miezi sita duu eti anataka kurudi kwa msela....hapa ndipo hawa viumbe wananiachaga hoi!!!
Kabisa. Tusiwalaumu sana hawa akina dada wakati watia mimba ni sisi wanaume. Je tunabeba jukumu la kulea mimba zetu?50 percent right... Lakini hujazungumzia ma cowboy ambao huwarubuni mabinti Hawa then dump them kama uchafu at the end of the day.
Yaani tumewachoka kwli!!kwn wakaka wte ni waoaji???ukiona mtu hatk kuolewa anamipango yke bana na hao wanaokataa afu wanalalamika hawajitambui mafala fulan,ila wpo ke wanamcimamo bana yeye kachagua kz na pesa bac mapnz c kila kitu mabwege nyie zipo furaha zaid ya mpnz na achen kuwasakama wanawake!!!!misingle kaka imejaa mtaani inasbr nn??
wanatoka povuu jingi wakati furaha zipo nyingi sana, hao walioolewa mbona naona wanalia kila siku. Watu wanaishi ishi hawajielewi ndoa ni za vizazi vilivyopita now days hakuna ndoa bali kuna maigizo ya ndoa.
Kama ninauwezo wangu mwenyewe unadhani kwa nini nikanyanyasike na mijitu isiyo na utu.
mtuache tunajielewa sana.
Jipusasa wenye ndoa na machozi kila siku hawana stress. Unachovalue wewe sio kila mtu anavalue. jiamini ishi maisha ya kujiamini sio kusukumwa na hisia za watu. Yawezekana unafikria wanastress we ndo unazo zinakutafuna kwa sababu ya kuwa mfungwa wa mawazo yako.
Yawezekana wamekukataa una kiwango tafuta viwango kwanza acha kulumbana na watu
Jipu lingineKwel my Mana humu waanzisha thread za ushauri wanandoa wanaongoza sa chakujiuliza km ndoa ni furaha why kila cku ni vilio humu ndani???why ukimbilie stress life kwa kuwaonyesha wtu!!!haina mAana tunaishi vile ulivyochagua bac hakuna wa wakukupangia!!!!
Nimekusamehe mkuu, endelea kutuchimba na mengineKwanza niombe radhi kwa yoyote ambaye uzi huu utamgusa moja kwa moja kwani lengo langu si kumsema mtu bali nikusema mambo ambayo yanatokea katika maisha yetu ya kila siku tunayaona ndio maana imebidi niandike ili tubadilishane mawazo
Hii hasa kwa wadada ambao ni watumishi haijalishi mtumishi wa umma au sekta binafsi ambao hawajaolewa na ambao kwa bahati mungu aliwasaidia wakazaa ila hawana ndoa wanaishi na watoto wao bila baba zao
Kiukweli hakuna kundi linaloteseka kimahusiano kama hili kundi na sababu inayowafanya wateseke kwa mtazamo wangu ni kuwa wengi si wa kweli
Kutokuwa kwao wakweli basi wengi ujikuta wanangukia pua nakujilamu mwishowe hujikuta mapenzi yanawapotezea furaha ya maisha kwani ule uongo alioongopea awali hujakujizihilisha wazi ni uongo mbele ya watu aliokuwa nao kila siku hivyo huona aibu
Uongo wao ni nini ipo hivi wengi hawa wadada has ambao hawana ndoa kipindi anaanza kazi wengi wao umri huwa bado cause ndio kwanza wengi huwa wametoka shule so ubinti bado upo na kwakua wengi wao huwa wanaenda fanyia kazi miji ambayo si wenyeji basi huwa wapo Peke yao yao hivyo basi pale ofisini au nje ya ofisi anaweza kukuta vijana wa kiume ambao hawajaoa
Kwaiyo binti anapokuwa anatongozwa na hawa vijana ambao nao wanaanza maisha mabinti wengi huwa hawaelewi wengi hudanganya oooh na mtu wangu yupo sijui wapi wapi mda unaenda miaka inakatika binti yupo tu kwakua umri si rafiki wale vijana aliowakataa anapata wenzi wananzisha familia yule binti yupo tu na drama zake Mala na mchumba sijui nini nini at the end unamuona dada ana mimba ukiwambia tuonyeshe shemeji ataki ooh shemeji yenu yupo mbali kizazi mtamjua siku zinaenda mala anazaa Mala mtoto anaanza shule baba wa mtoto hajui
Siku zinaenda unasikia yule dada analopoka ooh wanaume waongo sijui n mimi sasa nalewa na yoyote yule kwakua wale vijana alioanza nao kazi washaoa wapo bize na familia zao hawamtilii manani tena
Mwisho wa siku unatembelea jf unakuta kajilipua umu anatafuta mume na yupo serious kweli
My take
Dada zangu acheni drama drama zenu kuweni wawazi maisha mazuri yanatengenezwa huyo huyo unayemuonahapo hana kitu unamdharau na kuona huwezi fanya naye maisha na kutaka mwenye maisha unajidanganya wanaume wengi waliofanikiwa maisha ukiwaona asilimia 99 wanafamilia zao
Kwaiyo usivunge jilipue na uyo uyo hapo acha mbwebwe za chuo za nyumbani acha mawazo ya gari nzuri nyumba nzuri bila msoto komaaaa na uyo uyo hapo muanze mipango ya kuwa n nyumba nzuri gari nzuri pesa bank nk pia familia nzuri
Badilikeni acheni mbwebwe