Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,781
IMwanamke analeta chakula mezani vizuri wakati mnaanza kula yeye yuko busy na kuchati ,mkono mmoja uko kwenye screen ya phone Na mwingine ndio anakula nao ugali kwa samaki na maziwa kinachokera na kunikwaza ni hizi sauti za delivery or receiving sms ,kila saa visauti .vimlio vya kila aina .Nimeamua badala ya kukaa dining table niwe nakaa front porch ,help my self .kuliko kukaa dinning table na mtu ambaye mawazo yake hayapo pale ,sijui akili zao zikoje zinafikiria negative ,that is worse behavior ,halafu unakuta wanachat crap stuff that's worse part .Yaani kuja kushika hizi smartphone uzeeni ni janga la kitaifa kwa wale wanaozitumia vibaya ,Mbaya zaidi hawakufundishwa na wazazi maana kulikuwa hakukuwa na smartphone ,Cha kushangaza hata kama ni mtu mzima huna hata vichembembe vya akili kwenye brain vilivyobaki kujua wakati mko dinning table ni mahali pa kuheshimu kama vile mko msikitini au kanisani au kwenye funeral home, lazima mzime simu Au kutoa basi sauti .Mnakera sana .That's is a bull shit.UKIMWAMBIA ACHA SIMU ANAVUTA MDOMO MPAKA CHINI NA KUZIRAA WAKUU WANGU 