Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,261
- 18,255
Mimi naona kwa macho,Dalili ya moto ni kufuka moshi,wewe unaonaje?
Sijui wewe wasikiaje.

Mimi naona kwa macho,Dalili ya moto ni kufuka moshi,wewe unaonaje?

Basi tuache debate,mimi nakupenda na nataka uwe wangu nikutie ndani.Mimi naona kwa macho,
Sijui wewe wasikiaje.
![]()
Heshima kitu cha bure ndugu yangu.Basi tuache debate,mimi nakupenda na nataka uwe wangu nikutie ndani.
Una mspy vipi aisee?Ni rahisi sana kumspy kwenye whatsap.ila uwe na kifua
Huyu wa mikoani anatuaibishaPole sana..... mpaka mke anukusahau Iazma kuna jamaa inagegeda tena kwasifa bao tatu, tano wanaume wa mikoani vepe.... mnaogopa kuongea na wake zenu ..!?
Eti ukigundua nawe unacheat.
Bro!Before you embark on the journey of revenge,you better dig two graves.
Mwanaume anamkanya mwanamke wake kwa mamlaka na kujiamini co kunyatanyata na kuvizia.
Hapo hamna kituUmeskia anasema mkewe huwa hajibu sms zake mpaka saa tano usiku lakini huwa online that means anakupuuzia na tayari hana interest na wewe tena,Yaani una mtext saa 6 mchana anakuchunia mpaka usiku halafu unasema yupo bize??
Jee hio sms zako zinafika kwa wakati isijekuwa zinadhuiliwa hewani na Tigo. Halafu kwanini usimwabie mwenyewe hapa kuna wazinzi watakwambia kachepuke. Wanaume wa mikowani wanashindwa hata kuwauliza wake zao.
Sina nia mbaya,kama umenielewa vibaya nisamehe ndugu yangu.Heshima kitu cha bure ndugu yangu.
Kuna bibi zako na mama zako humu,Sina nia mbaya,kama umenielewa vibaya nisamehe ndugu yangu.
Ooh MACHEPELE tena jamani mbona mimi sijui Kihindi,tafadhali unitafsirie basi.Kuna bibi zako na mama zako humu,
Usidhani kila mtu ni machepele mwenzio.
Hahaha anamtishia mtu mzima nyauUnakumbuka lakini kuwa kuna wakati unaweza kutumia hiyo whatsup, na 'usipotoka' utabaki kuonekana online hata usiku kucha?
Duuh...eti uta-cheat mpaka atashangaa.....wee bwana wewe....aisee....
Hatua yangu ya shule unajua ni hatua ngapi?? Hahaha walosoma awawezi kuwa na ufinyu wa fikra kiasi km chako na handouts hazikufanyi kuwa na upana wa mawazo kitaaDa soma
Na subiria mtihani huku tupo watu ambao tumeshapiga hatua kubwa ya shule soma dogo haya huku tuachie sisi
kuwa online sio ishu, ishu n je anazifungua na kusoma izo sms halafu anakausha auNilipata uhamisho wa kikazi kama mwaka hivi hivyo nakaa wilaya tofauti na mke wangu ila naenda nyumbani mara mbili kwa mwezi tuna watoto wawili ila nachoshangazawa nae nikimtumua msg whatsp huchelewa kujibu while yuko hewani mfano jana nilimtumia msg whatsp saa mbili hakujibu mpaka leo na alikuwa online mpaka saa tano usiku sasa najiuliza huwa anachati na nani
Sasa nataka nimfanyie uspy wa kutisha ili nijue na mimi nianze kuchepuka au la na kuna mfanyakazi mwenzie huwa naona wanawasiliana sana kwa simu nikikagua cm yake na yeye huwa anamponda sana huyo jamaa mpaka nashindwa elewa sasa nikigundua mchezo nitachet mpaka atashangaaa