Recent content by Mnyatiaji

  1. Mnyatiaji

    JamiiForums Tanzania Wenye magonjwa makubwa karibu tuliwazane na kujulishana dawa

    apo ndiyo namimi nakazia, mtu kwenda hospitali ya wilaya tu, anaweza ona kwamba awajaona kitu😁
  2. Mnyatiaji

    JamiiForums Tanzania Wenye magonjwa makubwa karibu tuliwazane na kujulishana dawa

    hizo bado hospitali za level ya chini nenda level ya rufaa uonane na Pulmonologist (kwa tatizo la kifua), hilo la madonda ya tumbo mbona linatibika, inabidi useme umetumia dawa gani? Pia tatizo la kifua halionekani kwa maana ipi, walifanya xray? walifanya TB score, n.k?
  3. Mnyatiaji

    JamiiForums Tanzania Wakuu kuna dawa gani ya kienyeji ya koo linalouma? Hospitalini napewa tu brufen na anti-biotics ila wapi

    umeenda kituo cha afya cha level ipi, na antibiotic gani unapewa, maana sio kila antibiotic inafaa kwa infection za koo, ushauli inabidi uende hospitali ambapo unaweza muona daktari wa masikio,pua na koo (ENT)
  4. Mnyatiaji

    JamiiForums Tanzania Challenge ya kuandika mstari mfupi wa wimbo bila kuutaja ni wimbo gan ili mwana JF amalizie mstari huo

    vaa pendezaaa….. twende disko cheza HINT: Hip Hop
  5. Mnyatiaji

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri wenu kwa biashara ya usafi /kukusanya taka

    mkuu naomba msaada wako kwa hili tuwasiliane
  6. Mnyatiaji

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa viti maalumu ana majukumu gani kwenye Jimbo

    kweli hili suala ni muhimu sana hawa viongizi inabidi wajue mipaka yao, niliona pia kuna mbunge mmoja anamfokea mganga wa kituo cha afya fulani kwenye jambo ambalo kiuhalisia hajui taratibu za hospitali na hana health industry expertise kuhusu lile jambo , na tena akatoa na maelekezo😂😂😂, sasa...
  7. Mnyatiaji

    JamiiForums Tanzania Huu ni ugonjwa gani? Maana dawa zote zimedunda

    bila shaka hii ni pumu ya ngozi acha kutumia dawa kiholela nenda hospitali waambie unataka kuonana na daktari wa ngozi (dermatologist) atakusaidia
  8. Mnyatiaji

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa bei ya Fuso Tandam

    uzi ulikua mtamu basi tu
  9. Mnyatiaji

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nawashauri Wajumbe wa Tume ya Maridhiano walioteuliwa na Serikali wakatae uteuzi au wajiuzulu.

    siku ndugu au jamaa yako wa karibu, akitoweka na alikuja kuchukuliwa na vyombo hivyo vya usalama, asionekane tena na usipate ufafanuzi kutoka vyombo hivyo, apo tutaongea lugha moja
  10. Mnyatiaji

    JamiiForums Tanzania Hii Ndiyo Ilikuwa Msaada na VPN Haikuwa Msaada?

    kimfano ukanunua ukavuka nayo tz kwa magendo ukaanza kutumia, there is any way tcra to detect you?
  11. Mnyatiaji

    JamiiForums Tanzania Hii Ndiyo Ilikuwa Msaada na VPN Haikuwa Msaada?

    hints on this
  12. Mnyatiaji

    JamiiForums Tanzania Hii Ndiyo Ilikuwa Msaada na VPN Haikuwa Msaada?

    tupe hints mkuu next time tukae kimkao kabisa
  13. Mnyatiaji

    JamiiForums Tanzania Mjadala huru: Ikitokea mtandao umezimwa vile tunapaswa kufanya nini?

    shida ni kwamba wanazima kabisa internet nazani ata kuwasha hiyo Roamless app bado itahitaji itumie bando ili ifanye kazi. Apa nafikiria kuna satelite internet providers wa Tanzania nawafahamu ila sijajua kama kipindi hiki zilikua zinafanya kazi au na wenyewe ndo wapo controlled na Gavoo
  14. Mnyatiaji

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha “Machimbo ya Bidhaa Kwa Bei ya Jumla Kariakoo”

    mpo maeneo gani
Back
Top Bottom