Naomba kujuzwa bei ya Fuso Tandam

Aigle

JF-Expert Member
Jul 4, 2020
711
6,186
Wakuu wafanyabiashara hamjambo humu! Nataka kujua Bei ya fuso tandam ni kiasi gani mpaka naipata mkononi na pia lipi bora kuagiza au kununua mpya au kununua kutoka kwa mtu!
 
Kwa sasa kununua fuso single engine 15 iliyosimama bei ni kama 80 hadi 90+ kuipeleka garage kuirekebisha kila kitu ni kama 15 hadi 20 M.

Sasa mimi binafsi kwa maoni yangu huwa ninaumia sana nikiona mtu anapiga hesabu katika ulimwengu wa sasa kwenda kuchonga tandam kwani naziona kibiashara hazifai.

Ni bora hiyo 100M+ niiweke kwenye scania mende ambapo;
1. Nitabeba mzigo mkubwa zaidi(hadi 23tons)
2. Gari inadumu
3. Maintenance cost chini
Ukilinganisha na fuso. Lakini kila mtu ana machaguo na mapendrkezo yake
 
Kuagiza utapigwa Kodi uchakae labda agiza half cut yaani kibini,engine na gearbox utalipa kama spea then ikiingia ndo ufanye mafekechee uunge na bodi upate gari ule hesabu utaokoa mara m40 Hivi
 
Kwa sasa kununua fuso single engine 15 iliyosimama bei ni kama 80 hadi 90+ kuipeleka garage kuirekebisha kila kitu ni kama 15 hadi 20 M.

Sasa mimi binafsi kwa maoni yangu huwa ninaumia sana nikiona mtu anapiga hesabu katika ulimwengu wa sasa kwenda kuchonga tandam kwani naziona kibiashara hazifai.

Ni bora hiyo 100M+ niiweke kwenye scania mende ambapo;
1. Nitabeba mzigo mkubwa zaidi(hadi 23tons)
2. Gari inadumu
3. Maintenance cost chini
Ukilinganisha na fuso. Lakini kila mtu ana machaguo na mapendrkezo yake
Mkuu gharama za kumaintain fuso zinakuwa kubwa kuliko kipisi (mende)?

Kivipi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom