Recent content by Mnyankole

  1. M

    TRA's Kitilya to retire from public service, Blandina Nyoni or Dr. Dau to take over...

    Nafikiri it's time to give the youth a chance. Rished bade has got all what it takes to lead that institution. Give him the chance
  2. M

    Msaada - Shule nzuri za private (HGE)

    Naomba msaada kwa yeyote anayefahamu shule nzuri za private kwenye combination ya HGE. Mdogo wangu kachaguliwa government lakini nataka aende private high school.
  3. M

    Msaada - HGE Galanos High School

    Wakuu naomba msaada wenu. Mdogo wangu kachaguliwa kwenda Form V (HGE) huko Galanos high school, Tanga. Kuna yeyote anayejua kama shule hii ina mazingira mazuri ya kusoma hiyo combination ya HGE? Namaanisha kama kuna walimu wazuri na mazingira mengine ya kielimu yanayoweza kumfanya mwanafunzi...
  4. M

    CHINUA ACHEBE: Ujana mtamu!

    The author of ‘Three Suitors One Husband’ is GuillaumeOyono-Mbia, not the late Achebe.<o:p></o:p>
  5. M

    RC, Mbunge, DC majembe shambani Ludewa, mfano kwa vitendo

    Huo ndiyo ukweli. Huyo mbunge Deo Filikunjombe ni msanii tu. Hapa Dar watu wengi wanamfahamu na kwa kuthibitisha hilo kumbukeni FILIKUNJOMBE ni mmoja wa wabunge wa CCM ambaye ALIUNGA MKONO tamko la nyongeza ya posho kutoka sh. 70,000 kuwa sh. 200,000 kwa kikao. Huyo anafahamika hapa mjini LABDA...
  6. M

    Deo Filikunjombe: Mbunge anayefanya makubwa jimboni mwake

    swali la kujiuliza kwa nini filikunjombe alikuwa akipinga hoja ya kuondolewa kwa posho za wabunge kama kweli yeye ni mpenda mageuzi?
  7. M

    GE2010 Tufungue account maalumu kwa ajili ya dr. Slaa

    CHADEMA iliingia mkataba na Dr Slaa kuwa endapo hatachaguliwa kuwa raisi ataendelea kulipwa benefits zake zote za ubunge. Kwa hiyo hatakuwa na njaa. Kkama ni michango ipeleke kwenye chama pia usisahau kuwa ruzuku ya CHADEMA sasa haitakuwa tens of millions per month but hundreds of millions per...
  8. M

    GE2010 Dk. Willbrod Slaa, ameitaka Usalama waende mahakamani

    BROTHER, Go and post your CRAP in another forum, not here. JAMII FORUM is for GREAT THINKERS!!!!
  9. M

    GE2010 Ebu ona huu usanii, Kura CHADEMA, urais CCM, nonsesnse

    Brother, let NEC finish their show. Nafikiri CHADEMA inaangaliwa mchezo huo wa kuigiza halafu mwishoni watajibu. Usije shangaa watakapotangaza kuwa mwaka huu hakukuwa na uchaguzi!!!!!!!
  10. M

    GE2010 Jamani haya matokeo ya URAISi vipi?

    INABIDI KUONA KAMA KURA ZINAZOTAJWA na NEC zinaoana na zile ambazo CHADEMA imepewa na mawakala wake huko kwenye majimbo. I can bet my last dollar - that CHADEMA is working on tallying those numbers and will release a statement.
  11. M

    GE2010 Tususie Matokeo Ya Uchaguzi

    WRONG BROTHER!! what about the 18 CUF seats in Zanzibar and already TLP and NCCR-MAGEUZI each has one seat? It's coming to 40 and we count on some more!!!!! Mind you, if the 5 MPs from CHADEMA caused that much HAVOC in the parliament, what about 50 more? SASA BUNGE LITANYOKA!!!!
  12. M

    GE2010 Uchaguzi 2010 watz bado tuna kazi kubwa ila tunakoelekea si mbalii

    Mimi naliona suala hili kwa namna tofauti kidogo. Nafikiri kuna haja ya sisi wana-CHADEMA na wanaharakati wa mabadiliko kwa ujumla tuweke mikakati ili katika uchaguzi ujao tujitolee hata ikibidi tuchukue likizo ya mwezi huo wa uchaguzi na kwenda kufanya kampeni katika maeneo ambayo wananchi...
  13. M

    GE2010 YAFAHAMIKA: Kura za Dr. Slaa zinapunguzwa kwa amri

    I couldn't agree with you more. We need to count the votes from all polling stations throughout the country to see whether they tally with what NEC is announcing. If they do not tally, we should demand an explanation from them and denounce the election as RIGGED.
  14. M

    GE2010 Mahanga akamatwa na polisi, akamatwa na kura feki

    Mungu ameanza kusikia kilio cha watanzania na atatuepusha na utawala huu dhalimu!!!!! This is criminal offence and this dude should be prosecuted in a court of law!!! Mind you their PRESIDENT said just before the election that there was no possibility to rig votes!!! WHAT ARE WE SEEING NOW? LET...
  15. M

    GE2010 Ujumbe Muhimu kwa Viongozi Wote wa Chadema na Wanaharakati Wote Nchini

    Brother, hatuna maana kuchochea fujo!! Ambacho tunaweza kufanya ni kuhakiki hizo kura kuona kama zina-tally na zile ambazo mawakala wa CHADEMA wanazo na kama kuna tofauti basi kuna kila sababu ya kuyakataa matokeo hayo ya NEC na kuchukua hatua zinazofaa. TUSIWE WAOGA NDUGU ZANGU, LIBERATION HAS...
Back
Top Bottom