Uchaguzi 2010 watz bado tuna kazi kubwa ila tunakoelekea si mbalii

G

geophysics

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
905
Likes
2
Points
35
G

geophysics

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2010
905 2 35
Mimi napendelea mabadiliko hasa...na pia ninavyotafakari na kuona hali ya wananchi wa hali ya chini....nadhani Tanzania tunahitaji kuona kuwa tunakoelekea ni karibu... Ukaribu huo ni kwa kujiandaa hasa kwa uchaguzi wa 2015. Nishauri sasa kwa wale mnaopenda mabadiliko...basi jiandikisheni katika kitabu cha kupiga kura siku si nyingi CCM wataona kuwa ufisadi na kuwafanya watu wawe maskini......ndiyo hukumu yao...
 
M

Mnyankole

Member
Joined
Aug 18, 2010
Messages
23
Likes
0
Points
0
M

Mnyankole

Member
Joined Aug 18, 2010
23 0 0
Mimi napendelea mabadiliko hasa...na pia ninavyotafakari na kuona hali ya wananchi wa hali ya chini....nadhani Tanzania tunahitaji kuona kuwa tunakoelekea ni karibu... Ukaribu huo ni kwa kujiandaa hasa kwa uchaguzi wa 2015. Nishauri sasa kwa wale mnaopenda mabadiliko...basi jiandikisheni katika kitabu cha kupiga kura siku si nyingi CCM wataona kuwa ufisadi na kuwafanya watu wawe maskini......ndiyo hukumu yao...
Mimi naliona suala hili kwa namna tofauti kidogo. Nafikiri kuna haja ya sisi wana-CHADEMA na wanaharakati wa mabadiliko kwa ujumla tuweke mikakati ili katika uchaguzi ujao tujitolee hata ikibidi tuchukue likizo ya mwezi huo wa uchaguzi na kwenda kufanya kampeni katika maeneo ambayo wananchi hawana mwamko na uelewa wa kisiasa hapa nchini. CHADEMA makao makuu wanaweza kuandaa orodha ya maeneo yote ambayo kuna matatizo na kuna uwezekano wa kubadilisha mawazo ya watu na kila mwanaharakati achague eneo ambalo anaweza kwenda aidha kugombea au kusaidia katika kukipigia kampeni chama chetu.

I still believe that it's possible to vote out this oppressive administration in the next election. IT CAN BE DONE, PLAY YOUR PART!!!
 
Forum statistics

Threads 1,251,864
Members 481,917
Posts 29,788,225