Tufungue account maalumu kwa ajili ya dr. Slaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tufungue account maalumu kwa ajili ya dr. Slaa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mpiganaji tz, Nov 11, 2010.

 1. Mpiganaji tz

  Mpiganaji tz Member

  #1
  Nov 11, 2010
  Joined: Jul 22, 2010
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Njaa ni kitu kibaya yaweza kumfanya mtu uliyemwamini kwa siku nyingi akatenda jambo ambalo utashindwa kuliamini. Hebu fikiria mtu ameshinda urais znz na anafahamu kuwa kashinda lakini anaambiwa kuwa yeye ni mshindi wa pili na anaridhika huku akishangilia kitendo hicho kama zuzu! Je, wamepewa nini watu hawa safari hii wamekuwa passive kiasi hiki? Huo utaifga hawakuujua awali wakawa wanakomaa? Nadhani hii yote ni njaa imechangia, maana waambiwa adui mwombee njaa.....sasa kama mambo ndio haya, dr. Slaa atahimili temptetion za kiuchumi uswahilini hadi 2015? Kwanini tusimfungulie account tuwe tunaichangia imsaidie kum-keep stronger hadi 2015 atakapoikomboa nchi? Wadau mwasemaje?naomba kuwasilisha
   
 2. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,175
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  Sijakuelewa kuhusu Dr. Slaa.
   
 3. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nani kakwambia Dr. Slaa ana njaa? Au anatarajia kuwa na njaa? Au atakuwa uswahilini? Dr. Slaa hana tatizo Chama anachokitumikia kitamjali na kumlipa sawa sawa na mkataba wake na CHADEMA. kama una nia ya kuchanga, changia chama si dr. Slaa!
   
 4. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #4
  Nov 11, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  akaunti ifunguliwe wapi na who is going to be accountable??!! hii isije kuwa mradi mwingine cause this country full of wachakachuaji
   
 5. Mpiganaji tz

  Mpiganaji tz Member

  #5
  Nov 11, 2010
  Joined: Jul 22, 2010
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Account itamilikiwa na yeye mwenyewe yaani 'personal account'. Jukumu letu liwe kuichangia tu
   
 6. Joss

  Joss JF-Expert Member

  #6
  Nov 11, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 729
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Post zingine bwana,Nani kakwambia kuwa dr. Slaa anategemea siasa kukimu mahitaji yake na ya familia yake?
   
 7. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #7
  Nov 11, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Ungemjua vizuri Dr. Slaa nafikiri usiongeongelea swala la kumchangia pesa, labda hiyo accoumt tukuchangie wewe.
   
 8. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #8
  Nov 11, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  nichangieni mimi nikaongeze elimu ili reasoning yangu iwe maradufu, honestly i need it more than the Dr. ili na mimi niwe Dr.
   
 9. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #9
  Nov 11, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,074
  Likes Received: 1,810
  Trophy Points: 280
  linapoongelewa swala la fweza ! hamuelewi kabisaaa.. hahaaha!
   
 10. M

  Mnyankole Member

  #10
  Nov 11, 2010
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CHADEMA iliingia mkataba na Dr Slaa kuwa endapo hatachaguliwa kuwa raisi ataendelea kulipwa benefits zake zote za ubunge. Kwa hiyo hatakuwa na njaa. Kkama ni michango ipeleke kwenye chama pia usisahau kuwa ruzuku ya CHADEMA sasa haitakuwa tens of millions per month but hundreds of millions per month kutokana na kuongezeka kwa idadi ya wabunge wa CHADEMA>
   
 11. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #11
  Nov 11, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,175
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  Ndo maana nilimuambia huyu mtoa maada "sijakuelewa kuhusu Dr. Slaa"
   
 12. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #12
  Nov 11, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,175
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  unataka pock??
   
 13. m

  mchakachuaji1 Senior Member

  #13
  Nov 11, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 122
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hebu acha mawazo yako ya Tandale nani aliyesema Slaa ana njaa, labda hiyo njaa yako ndio inakufanya ufikirie kila mtu ana njaa kama wewe.
   
 14. S

  SUWI JF-Expert Member

  #14
  Nov 11, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  I believe una nia njema sana ila kasoro boja tu.... Hujafanya uchunguzi kabla ya kutoa mada yako... Dr. Slaa haitaji mchango wowote kwa sababu hana shida... Michango ni mizuri ila ina mahala sahihi pa kuipeleka kama kwa watoto yatima na mambo mbalimbali.... Pia waweza changia chama sio Dr Slaa. Kafanye uchunguzi halafu utaamini ninachokuambia.:yield::yield:
   
 15. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #15
  Nov 11, 2010
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,339
  Trophy Points: 280
  Some brain need to be checked for expire date because others might already expired.
  :A S angry:
   
 16. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #16
  Nov 11, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,074
  Likes Received: 1,810
  Trophy Points: 280
  acha fujo wewe august!! toa fweza ...
   
 17. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #17
  Nov 11, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  kwa kweli mimi sijui lolote kuhusu Dr, na maisha yake binafsi, ila nasaport kuwa "NJAA NI MBAYA" mtoa mada hajamaanisha kuwa HELA YA KULA, ila anamaanisha FWEDHA ambazo zinaweza kumfanya mtu abadili msimamo wake.
  Wapo watu ambao walikuwa na misimamo yao lakini waliweza kununuliwa kwa fedha ingawa na wao walikuwa wanao uwezo na hawakuwa na njaa (mfano Kikwete wakati ananaingia madarakani, alionekana kama mkombozi, na nina hisi alikuwa mkombozi kweli ILA SASA HIVI KANUNULIWA, KATUSAHAU mimi na wewe tulimpigia KURA yetu 2005 KWA MATUMAINI).
  So ushawishi alionao mtoa hoja ni FWEDHA YA KWELIII sio hela,wastani wa chadema kupata hela kama Ruzuku kwa mwezi sasa ninakadiria around 300m (not sure bt nahisi tu kulingana na uwiano wa wabunge waliopo na ruzuku iliyokuwa ikitolea CCM ya almost 900m) so what if jamaa akahakikishiwa kupewa hela hiyo yeye peke yake ( ni mtazamo) kwa mwezi?? UPI UTAKUWA MSIMAMO WAKE?????????
  Siungi mkono kufunguliwa account ya hisani kwake,ila naunga mkono kuwa NJAA INAWEZA TUPOTEZEA TUMAINI LETU
  Tafakari
   
 18. kiraia

  kiraia JF Gold Member

  #18
  Nov 11, 2010
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 1,614
  Likes Received: 268
  Trophy Points: 180
  Nimechoka kuchangia harusi, nitumie Admission zako nikuchangie ndugu
   
 19. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #19
  Nov 11, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Post zingine zinaleta hata kinyaaa kuzisoma!
   
 20. M

  Mtu Mmoja JF-Expert Member

  #20
  Nov 11, 2010
  Joined: Mar 18, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  another minor @ work!!
   
Loading...