Elections 2010 Dk. Willbrod Slaa, ameitaka Usalama waende mahakamani

Halisi

JF-Expert Member
Jan 16, 2007
2,812
1,250
Dk. Willbrod Slaa, ameitaka Idara ya Usalama wa Taifa iende mahakamani endapo madai aliyoyatoa dhidi yao si kweli.
 
oba

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
309
225
Dk. Willbrod Slaa, ameitaka Idara ya Usalama wa Taifa iende mahakamani endapo madai aliyoyatoa dhidi yao si kweli.
Chombo pekee cha kuthibitisha madai ni mahakamani, kama kweli usalama hawajahusika na uchakachuaji wa matokeo waende mahakamani, wasipofanya hivyo tutajua wamehusika ila wanazuga
 
Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,473
2,000
Izi statement za Slaa huwa zinaniu na mara nyingi akisha sema ivyo hakuna anaethubutu kwenda mahakamani.
Dr ana confidence booku
 
Mpita Njia

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
7,004
2,000
Na akiona wanasuasua basi yeye (Dk Slaa) awahi huko mahakamani, tena kabla matokeo yahayajatangazwa. Mpaka kieleweke mwaka huu
 
coby

JF-Expert Member
Nov 28, 2008
342
195
Thubutu! Dr. Slaa akishasema hivyo tu no one ataenda mahakamani na ndio maana jamaa wamekuja public kujisafisha instead of Mahakamani
 
PayGod

JF-Expert Member
Mar 4, 2008
1,259
1,225
Ngoja tuwasubiri,Ila wataenda mahakamani kumshitaki dr kwa kosa gani?
 
DMussa

JF-Expert Member
Sep 24, 2007
1,314
1,500
Sasa na yeye Slaa si aende mahakamani kwani si analalamikia kupokonywa haki yake?? Mbona yeye anakuwa mwepesi kuwaambia watu waende mahakamani??
I think it is high time huyu Dr. Slaa nae ajue kwamba anatakiwa kudai haki yake na sio kutoa madai na kusubiri watu waende mahakamani ili akatoe vithibitisho!! Inawezekana Idara ya Usalama na hata NEC wanatumia ule usemi wa Ukibishana na mjinga wote mtaonekana wajinga so they take the option of keeping quite ili wananchi waone kwamba yote aliyoyasema slaa ni uzushi usio na hata chembe ya ukweli....
 
King kingo

JF-Expert Member
Sep 6, 2010
401
195
Ni kweli hawa UWT wanataka huruma ya wananchi tu kama ingekuwa si kweli wangeshamchakachua DR siku nyingi sana
 
Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,473
2,000
Musa usalama hawakukaa kimya mbona waliita press conference kuongelea ilo nona wamekuwa wanasiasa
 
jmushi1

JF-Expert Member
Nov 2, 2007
23,226
2,000
Sidhani kama wataenda mahakamani,na kama wasipoenda then whats next?
 
Elli Mshana

Verified Member
Mar 17, 2008
40,134
2,000
TUWAPE WIKI MOJA TU, kama hawajaenda huko mahakamani basi wakiri kuwa ni kweli walihusika
 
Gurtu

JF-Expert Member
May 15, 2010
1,230
1,500
Sasa na yeye Slaa si aende mahakamani kwani si analalamikia kupokonywa haki yake?? Mbona yeye anakuwa mwepesi kuwaambia watu waende mahakamani??
I think it is high time huyu Dr. Slaa nae ajue kwamba anatakiwa kudai haki yake na sio kutoa madai na kusubiri watu waende mahakamani ili akatoe vithibitisho!! Inawezekana Idara ya Usalama na hata NEC wanatumia ule usemi wa Ukibishana na mjinga wote mtaonekana wajinga so they take the option of keeping quite ili wananchi waone kwamba yote aliyoyasema slaa ni uzushi usio na hata chembe ya ukweli....

Acha kuchakachua hoja. Suala la Dr. Slaa kuibiwa kura anajua pa kwenda kadiri ya sheria hasa kuhusu tume ya uchaguzi. Lakini suala la usalama wa taifa kuja kukanusha kwa kuitisha kikao cha waandishi wa habari wao ndo wanaopaswa kwend mahakamani kwani wao ndo watuhumiwa. kwanza ni mara yangu ya kwanza kusikia usalama kujieleza kwa waandishi wa habari. Inanishangaza
 
DMussa

JF-Expert Member
Sep 24, 2007
1,314
1,500
TUWAPE WIKI MOJA TU, kama hawajaenda huko mahakamani basi wakiri kuwa ni kweli walihusika

Then what?? Haki haiombwi Dr. Slaa aende yeye mahakamani na mbivu na mbichi zijulikane sio hapa JF au kwenye Press confrences.
 
Genekai

R I P
Feb 9, 2010
12,535
2,000
Dk. Willbrod Slaa, ameitaka Idara ya Usalama wa Taifa iende mahakamani endapo madai aliyoyatoa dhidi yao si kweli.

Mbona jibu wanalo? hawawezi kwenda manake wanajua waloyafanya, rais wangu Slaa anadata jamani hata kama wanampinga!
 
Kituko

JF-Expert Member
Jan 12, 2009
9,559
2,000
Mbona jibu wanalo? hawawezi kwenda manake wanajua waloyafanya, rais wangu Slaa anadata jamani hata kama wanampinga!

unajua hapo ndipo utakapo ona kuwa Usalama wa taifa una mushkeli, sidhani ni busara kwa kiongozi wa juu wa idara hiyo kumjibu Slaa, kilichompasa ni kumwita Slaa na kuchukua data ili wafatilie hiyo ndio maana ya intelligence na wala sio kupayuka mbele ya vyombo vya habari
 
Msengapavi

JF-Expert Member
Oct 23, 2008
8,395

Kitoko, I totally Agree!
 
IFAKI

Member
Feb 25, 2009
7
20
Dr. Slaa Awataka wanausalama waende mahakamani naye atatoa ushaidi huko.

Akijibu tuma za kuhusika kwa usalama wa taifa kwa uchakachuaji wa matokeo mkurugenzi wa idara hiyo alisema kuwa Slaa aliingizwa kichwakichwa na watu wanaojifanya wanausalama. Wao hawausiki kabisa kwani swala la uchaguzi liko chini ya tume husika yani (NEC).

Dr. Slaa akijibu hoja iliyokanushwa amesema " nina ushahidi unaojitoshereza kuhusiana na tuhuma nilizotoa juu yao, kama hawataridhika waende mahakamani naye atapeleka ushahidi wake huko".
Akiongea kwa kujiamini na akitoa mfano wa Karatu ambapo afsa mmoja wa idara ya usalama alitembelea bahazi ya vituo na kutaka kubadirisha namba ya vituo na kubainika. Baada ya kubainika kuwepo kwa mtu wa usalama na ndipo swala hilo litolewa ufafanuzi na msimamizi wa uchaguzi kuwa usalama hawahusiki na mambo ya uchaguzi.

Source ITV Habari.
 
Nzi

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
13,867
2,000
Kituko ur right 100%. Kiongozi makini wa idara nyeti ka iyo angemwita dr ili idara iyo ifanye uchunguzi wake. That's how intellegence agencies do their works. Marekani walivyoivamia Iraq walimtumia whistleblower 1 kutoka ujerumani kua Iraq wana weapons of mass destruction,then CIA wakalifanyia kazi ilo neno,we all know wat happened next. So TISS wangepaswa kutumia taarifa za dr slaa kufanya uchunguzi wa kina,kuliko kuropoka. Ni mara ya kwanza tangu nilipopata akili ya kujua mema na mabaya,kusikia mtu wa TISS akiongea na vyombo vya habari!
 
Mnyankole

Member
Aug 18, 2010
23
0
Sasa na yeye Slaa si aende mahakamani kwani si analalamikia kupokonywa haki yake?? Mbona yeye anakuwa mwepesi kuwaambia watu waende mahakamani??
I think it is high time huyu Dr. Slaa nae ajue kwamba anatakiwa kudai haki yake na sio kutoa madai na kusubiri watu waende mahakamani ili akatoe vithibitisho!! Inawezekana Idara ya Usalama na hata NEC wanatumia ule usemi wa Ukibishana na mjinga wote mtaonekana wajinga so they take the option of keeping quite ili wananchi waone kwamba yote aliyoyasema slaa ni uzushi usio na hata chembe ya ukweli....

BROTHER, Go and post your CRAP in another forum, not here. JAMII FORUM is for GREAT THINKERS!!!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom