Recent content by MNYAMAKAZI

  1. MNYAMAKAZI

    Watumishi wa umma kutopanda vyeo/madaraja hadi wapitie mafunzo maalumu

    Serikali ya kibashite, sijui hawa mawaziri wanatumia nini kulewea. Mmoja juzi kaja na vyeti (yule hakujipanga). Huyu atakuwa kaagizwa atafute sababu ya serikali kutopandisha madaraja, hivi hizo taasisi za kutoa mafunzo kwa watumishi wote wa umma zitatosha na hizo pesa zitatoka wapi ikiwa pesa tu...
  2. MNYAMAKAZI

    Harmo Rapa atimua mbio baada ya Mh. Nape kuoneshwa bastola

    Ndio kazi yao hiyo na wanatumwa sana kuifanya na maisha yao yote kizani, ndio maana unamuona mshamba mshamba hajazoea maisha kwenye mwanga waungwana wanaishi vipi.
  3. MNYAMAKAZI

    Zitto: Hali mbaya ya uchumi, watu hawasafiri wala hawauzi, tutaangamia wote, mabenki yanauza nyumba

    Kwani uliambiwa posho au mshahara umepunguzwa? Wamuhoji rais afute bunge nani ana pesa ya kugombea upya saa hizi
  4. MNYAMAKAZI

    Yuko wapi Gentamycine humu JF?

    Umeamua ujibadili jinsia
  5. MNYAMAKAZI

    Makundi ya kumsafisa RC Dar!

    Makonda
  6. MNYAMAKAZI

    Je, Unaijua ibara 37 (1) Kwenye katiba kuhusu rais?

    Wanakera sana hawa learned bro, wanaudhi mno kwakweli kutukanisha noble profession.
  7. MNYAMAKAZI

    Je, Unaijua ibara 37 (1) Kwenye katiba kuhusu rais?

    Vijana wa CCM msikimbie shule, kwa kutegemea kufoji vyeti. Sheria ni taaluma na kuitafsiri watu wanakaa darasani kuisoma kwa miaka 4+ na sio bla bla mnazozifanya ndani ya chama na ndio maana wakuu wenu kila siku wanaaibika kwa kukosea step wakati wa kusingizia watu kesi na kushindwa kipuuzi...
  8. MNYAMAKAZI

    Hospitali ya Apollo inaweza kusitisha kupokea wagonjwa kutoka Tanzania kutokana na deni

    Sasa huyu ndugu kila mahali hapalipwi pesa anapeleka wapi?
  9. MNYAMAKAZI

    Msaada wa sheria haraka jamani

    Gonga tu mlango wa wakili aliye jirani yako utapata msaada wenye manufaa, maana ni suala la kuchukua hatua za haraka hili .
  10. MNYAMAKAZI

    Kwanini Wazungu hawawaamini CHADEMA na Upinzani wa Tanzania kwa ujumla?

    Kwani sera gani ya Chadema au kifungu gani cha katiba yake kinasema lengo la Chama ni kutafuta kuaminika na hao "wazungu" unaosema? Hii ni nchi ya wazungu? Vijana wa CCM kwanini hampendi shule? Ona sasa jitu karne hii hapa bado linaamini kuwa mzungu ndio utu na kila kitu, peleka na mkeo kwa...
  11. MNYAMAKAZI

    Lissu: Mfalme mmoja amethibisha kuwa yeye hakuchaguliwa bali amefikia ufalme huo kwa bao la mkono

    Lazima unasaidiana na Bashite kupooza dushe ya basha mkuu inapopata hasira. Bunge live limepigwa marufuku utamuona wapi sasa anaongelea jimbo lake? Kweli IRAMBA hasara wanayo, mbunge wa Iramba si unamjua?
  12. MNYAMAKAZI

    Kigwangalla ataja Sababu ya 'mashoga' kutotajwa hadharani

    Kuna mwingine anajifungia na "bwege mkuu" hadi saa saba za usiku ndio maana hajataja. Bwege mkuu hatumii dushe ya mtu anatumia yake, sasa amtaje punga wake aone.
  13. MNYAMAKAZI

    Sumaye awakaanga Magufuli na mkuu wa mkoa wa Dar

    Mnaongea na ng'ombe limeshavimbiwa madaraka na limejidhihirisha kuwa lina kiburi kama lilijipigia kura mnategemea nini kama sio kupoteza muda tu.
  14. MNYAMAKAZI

    Msaada hapa wapendwa; Ananipa kila kitu lakini ana kibamia

    Yupo stimu huyu, kashapelekwa mbingu ya saba na ngada kuna vitu anaviota.
Back
Top Bottom