Kigwangalla ataja Sababu ya 'mashoga' kutotajwa hadharani

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,658
55,485
Sababu ya 'mashoga' kutotajwa hadharani
TUESDAY , 21ST MAR , 2017
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt Hamis Kigwangalla kwa mara ya kwanza ametoa sababu ya yeye kushindwa kuweka wazi orodha ya watu wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja (mashoga)

Dkt. Hamis Kigwangalla

Amesema hakuaua kuyataja hadharani majina hayo kwa kuwa nikusikiliza ushauri aliopewa na jamii inayomzunguka.
“Mimi nashaurika, sikuweka majina hadharani kwa sababu nashaurika, listi ya watu ninayo na tunachukuwa hatua kimya kimya hili ni kosa la jinai na mtu anayekutwa na hatia anafungwa kifungo cha miaka 30 jela” Amesema Dkt. Kigwangalla

Dkt. Hamisi Kigwangalla amesema, hayo wakati akiwa kwenye maadhimisho ya siku ya Ustawi wa Jamii Duniani ambayo kitaifa imefanyika jijini Dar es Salaam, katika maadhimisho hayo Kigwangalla ameeleza kuwa kufanya mapenzi ya jinsia moja ni kosa kibaiolojia na hairuhusiwi mtu kuvutiwa na mtu wa jinsia yake.

Aidha, amesema katika sheria iliyotungwa mwaka 2012 ya kukazia adhabu ya mapenzi ya jinsia moja, kuna kipengele kinachotaka mtu achukuliwe hatua endapo ikithibitika amekaa mapozi yasiyoeleweka na ikabainika kuwa ni kwa lengo la mapenzi ya jinsia moja atafunguliwa mashtaka.

Mhe. Kigwangalla amewaonya wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja na kusisitiza kwamba serikali inawachukulia hatua kimya kimya.

Chanzo: EATV
 
Mimi nashaurika, sikuweka majina hadharani kwa sababu nashaurika, listi ya watu ninayo na tunachukuwa hatua kimya kimya hili ni kosa la jinai na mtu anayekutwa na hatia anafungwa kifungo cha miaka 30 jela”

That is without a doubt a Subaru. Quick question tho; Kwanini alikurupuka na kutishia kutaja mwanzo??
 
Mashoga walipiga mkwala nao......kuwataja wanao wagegeda!

Ova
 
Sababu ya 'mashoga' kutotajwa hadharani
TUESDAY , 21ST MAR , 2017
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt Hamis Kigwangalla kwa mara ya kwanza ametoa sababu ya yeye kushindwa kuweka wazi orodha ya watu wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja (mashoga)

Dkt. Hamis Kigwangalla

Amesema hakuaua kuyataja hadharani majina hayo kwa kuwa nikusikiliza ushauri aliopewa na jamii inayomzunguka.
“Mimi nashaurika, sikuweka majina hadharani kwa sababu nashaurika, listi ya watu ninayo na tunachukuwa hatua kimya kimya hili ni kosa la jinai na mtu anayekutwa na hatia anafungwa kifungo cha miaka 30 jela” Amesema Dkt. Kigwangalla

Dkt. Hamisi Kigwangalla amesema, hayo wakati akiwa kwenye maadhimisho ya siku ya Ustawi wa Jamii Duniani ambayo kitaifa imefanyika jijini Dar es Salaam, katika maadhimisho hayo Kigwangalla ameeleza kuwa kufanya mapenzi ya jinsia moja ni kosa kibaiolojia na hairuhusiwi mtu kuvutiwa na mtu wa jinsia yake.

Aidha, amesema katika sheria iliyotungwa mwaka 2012 ya kukazia adhabu ya mapenzi ya jinsia moja, kuna kipengele kinachotaka mtu achukuliwe hatua endapo ikithibitika amekaa mapozi yasiyoeleweka na ikabainika kuwa ni kwa lengo la mapenzi ya jinsia moja atafunguliwa mashtaka.

Mhe. Kigwangalla amewaonya wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja na kusisitiza kwamba serikali inawachukulia hatua kimya kimya.

Chanzo: EATV
Kuna mwingine anajifungia na "bwege mkuu" hadi saa saba za usiku ndio maana hajataja. Bwege mkuu hatumii dushe ya mtu anatumia yake, sasa amtaje punga wake aone.
 
Ha ha ha alipigwa biti na prince maana jina la prince lipo namba moja hata sugu alimtuhumu
 
Ni ngumu kwasababu wajuu wengine wanakulana sasa hiyo nguvu kukemea itatoka wapi
 
Unaanzaje kuwataja mashoga ikiwa kwenye list hiyo hakosekani yule wa pale mjini mwenye "mgongo" mkubwa na mikao ya kutatanisha?
 
Back
Top Bottom