Kama ni kweli ulikuwa na nia ya kuomba ushauri hapa jf nina uhakika kwa ushau uliotewa na wanajf ni wa kutosha sana angalia wengi wanavyolaani mchepuko halafu baada ya hapo unatakiwa ukaoe mdogo wa marehemu kwa sababu kuu ya kulea watoto wa dada yake .
Yes nimesoma comment moja baada ya nyingine aisee wengi wana roho mbaya sana na hawawezi kukaa na wafanyakazi kabisa. Ndo maana inafikia wakati hawa wadada wa kazi wanafanya mambo ya ajabu majumbani siyo kwa kujitakia na kama kulipa kisas kwa wanayofanyiwa . Na ukishaona mtu anashindwa kukaa na...
Kwa kusoma coments hizi zote nimegundua kuwa watu wengi sana wana roho mbaya kwa wasichana wao wa kazi. Yaani ni wachache sana wanakubaliana na ratiba ya mfanyakazi wake hata kama haina madhara kwake na kazi za pale nyumbani. Sasa endeleeni hivyo hivyo wawavunje viuno kiutamu hao watoto wenu...
i kweli nipo tabata barakuda umeme ndo umerudi saa 11:20 , mkuu kaa ukijua kuwa ule mjadala bungeni ni aibu kutazamwa na watanzania wote ndo maana wameona isiwe tabu wakazima umeme mpaka kikao kitakapoisha na baada ya kuvurugana ndipo umeme umerudishwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.