blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 13,684
- 17,286
- Thread starter
- #41
kama wewe ni mwanaume ndio unamfatilia huyo housekeeper hapo nyuma kiasi hiki mpaka unamuundia thread humu jamiiforum sipati picture huyo mwanamama atakuwa ameenda umbali gani mda huu.
Naye ni binadam kama wewe mpe uhuru japo analolifanya lisiwe ovu ila kushika simu sio big deal mbona wewe unatumia.
Mkiwapelekesha sana ndio wanawanywesha mikojo mate ukatili kwa watoto na mambo mengine maovu.
ndio maana nimekuja omba uzoefu hapa.