Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,808
- 110,046
Wewe ulioa mwanamke lakini hukuoa mke...
Kumwacha au kutokumwacha hilo ni juu yako maana tokea mwanzo unaonesha u dhaifu wewe...
Nduguzo walipokushauri ukawapuuzia kwa kuwa ndivyo ulivyo, wapenda kupuuzia...
Hata sisi tukikushauri hapa utatupuuzia tu, mathalani tukikuambia achana na huo mchepuko sidhani kama utaelewa...