Daniel Mbega
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 338
- 180
Rais John Magufuli (kulia) akiwa na Balozi wa China nchini Tanzania, Lu Youqing, Ikulu jijini Dar es Salaam
KILIO cha miaka mingi cha tatizo la usafiri wa Reli ya Kati kinaonekana kinakaribia kwisha, baada ya serikali za Tanzania na China kufikia makubaliano ya ujenzi wa reli hiyo.
Taarifa iliyotolewa Ikulu ya Dar es Salaam Tanzania baada ya Rais John Magufuli kukutana na Balozi wa China nchini Tanzania Bw Lu Youqing, imesema kufikiwa kwa makubaliano hayo kunatokana na juhudi za muda mrefu, kwenye hatua za kutafuta vyanzo vya fedha za mradi na mkandarasi.
Soma zaidi hapa=> http://www.fikrapevu.com/mradi-wa-u...a-mapinduzi-kwenye-sekta-ya-usafiri-tanzania/