Recent content by mnhonya

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kituko JNIA mgahawani: Immigration hii si sawa!

    Hata mimi nashangaa niliona wakati fulani wauza mgahawa uwanja wa ndege wametoka nje ya nchi na Watanzania wapo tu
  2. M

    JamiiForums Tanzania M Pesa nirudishieni basi pesa zangu

    Mpesa hawafai nimeshakaa wiki mbili nasubiri pesa yangu irudishwe
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tofauti ya software na version

    Hahahaaaa. Maelezo yametosheleza kabisa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Malasusa amestaafu au ameachishwa?

    Msameheni huyo alielaani mwenzie
  5. M

    JamiiForums Tanzania Utitiri wa Madhehebu ya dini uchunguzwe

    KANISA la Babtist Tanzania limeshauri Serikali kuchunguza utitiri wa madhehebu ya dini na wahubiri nchini, kama wana usajili na vibali halali. Makamu Mwangalizi Mkuu wa Makanisa ya Baptist Tanzania, Mchungaji Michael Nhonya, ameomba ichunguze ikiwa wote wanatenda shughuli zao kwa mujibu wa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Napenda sana kula mayai lakini sinenepi!

    Ndugu acha kula. Mayai ni hatari na hasa yakizidi
  7. M

    JamiiForums Tanzania 2G, 3G, H, H+, E, alama mbalimbali za Mobile Networks zinazowachanganya watumiaji wengi wa simu

    Hawa voda mbona wameondoa kifurushi cha internet bila kikomo na hawajasema, ukiweka sasa wamasema saa hiyohiyo kifurushi kimekwisha. Nataka nihamie hallotel
  8. M

    JamiiForums Tanzania Peter msigwa mbunge wa Iringa asifu kasi ya Magufuli

    Ni vema kukubali na kumpongeza mtu anapofanya vizuri hata kama sio wa itukadi yako na humpendi.
  9. M

    JamiiForums Tanzania January Makamba, hizi picha unamaanisha nini? Makubwa!

    Nelson kwa mumi?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Kero za michango ya Sherehe katika jamii ya Watanzania

    Nakubaliana na kufuta sherehe na tabia ya kuchangisha wengine bila utaratibu lakini pia muda wa sherehe
  11. M

    JamiiForums Tanzania Vibahasha vya khaki vinavyozuia harakati na kuua ndoto za vijana

    Bwana Yesu iponye nchi yetu ya Tanzania
  12. M

    JamiiForums Tanzania Vibahasha vya khaki vinavyozuia harakati na kuua ndoto za vijana

    Hii ni shida ndugu yangu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ajali Osaka

    Polisi wa usalama wa barabarani nisikilizeni! Huu sasa ndio wakati wa ninyi kufanya kazi kwa bidii na hasa hizo barabara za masafa marefu mikoani. Gari kama Hood ya Mbeya to Arusha, mabasi kama Ngorika ya Arusha Dar na hili la Mghamba la kwneda Mwanza Arusha, yaangalieni sana kwa umakini ninyi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ajali Osaka

    Jamani madereva wote naomba sana muwe makini wakati huu hasa wa sikukuu za mwisho na mwanzo wa mwaka, ndio maana ni vema kila bus kabla halijaondoka stendi pamoja na abiria wake kuchukua dakika angalau moja kumshukuru Mungu na kukabidhi safari mikono mwake. Tunawapa pole sana walioumia na ajali...
Back
Top Bottom