Askofu Malasusa amestaafu au ameachishwa?

Askofu Malasusa amestaafu au ameachishwa?

mwembemdogo

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2016
Posts
2,282
Reaction score
1,253
Naomba nijulishe iwapo Askofu Malasusa amestaafu Ukuu wa Kanisa la KKKT au ameachishwa.
 
Ulaaniwe na kauli yako, tena leo hii huvuki!

Nyerere alisema kuwa mke wa kasisi hatakiwi kutuhumiwa, yani kitendo cha mke wa kasisi kutuhumiwa Nyerere alikiona ni dhambi kubwa. Sasa pale kasisi mwenyewe anapotuhumiwa, it leaves us speechless... And to my records, this is not a first time... So usitumie jina la Bwana kuwalaani watu tu ambao wanatafuta kuujua ukweli ukadhani utafanikiwa kuli mis use jina la Bwana. No it dont work that way...
 
Alistafu lini

]Hapana, ni askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani... Alichostaafu ni uaskofu mkuu, so kabakia na uaskofu[/QUOTE]
 
Nyerere alisema kuwa mke wa kasisi hatakiwi kutuhumiwa, yani kitendo cha mke wa kasisi kutuhumiwa Nyerere alikiona ni dhambi kubwa. Sasa pale kasisi mwenyewe anapotuhumiwa, it leaves us speechless... And to my records, this is not a first time... So usitumie jina la Bwana kuwalaani watu tu ambao wanatafuta kuujua ukweli ukadhani utafanikiwa kuli mis use jina la Bwana. No it dont work that way...
Acha mambo ya Nyerere, Polygamist amelitoa wapi, kwa ushahidi upi usio na mashaka! Alaaniwe!
 
Afute andiko lake vinginevyo havuki hapa, anasema polygamist kwa mtumishi wa Bwana! Alaaniwe na vizazi vyake
Ndugu wacha mihenko upo Dunia gani Hawa Majamaa wa dini wamevaa ngozi za kondoo wanafanya mauchafu ya kutisha
 
Ndugu wacha mihenko upo Dunia gani Hawa Majamaa wa dini wamevaa ngozi za kondoo wanafanya mauchafu ya kutisha
Una ushahidi, walitembea na mkeo ukawakamata au magazeti ya udaku yanakupa taarifa. USHAHIDI USIO NA MASHAKA
 
Hakuna laana hapo...tumekombolewa kwa damu ya Yesu. Mkuu @CHUACHAKARA tunaishi chini ya huruma ya Mungu.
 
Naomba nijulishe iwapo Askofu Malasusa amestaafu Ukuu wa Kanisa la KKKT au ameachishwa.
Kila Kanisa Lina taratibu zake za kuingia na kupumzika kwa viongozi. Askofu Malasusa alistaafu kwa mujibu wa taratibu za kanisa hilo na si Kwamba aliachishwa. Alimaliza vipindi vyake vya kuongoza akastaafu.
Naamini muuliza swali amelala majibu yake na hivyo kuepusha upotoshaji
 
Back
Top Bottom