Recent content by Mnhenwa Ndege

  1. Mnhenwa Ndege

    JamiiForums Tanzania The Hurricane Sounds

    The Hurricane Sounds performs every Friday at the East 24 Mikocheni from 9 pm to deity breaking mapogo of.
  2. Mnhenwa Ndege

    JamiiForums Tanzania The Hurricane Sounds

    Performing at East 24 Mikocheni every Friday
  3. Mnhenwa Ndege

    JamiiForums Tanzania Said Ntimizi akamatwa kwa mauaji

    Jumatatu iliyopita ila mauwaji yalifanywa tangu December, marehemu walidhani amepotea baada ya kumtafuta kila kona ikabidi wambane mganga maana ndio aliyeyoka naye nyumbani kwake. Jumatatu ndio kafunguka na kuelekeza alipouawa.
  4. Mnhenwa Ndege

    JamiiForums Tanzania Said Ntimizi akamatwa kwa mauaji

    wapo ndani watuhumiwa kama sita hivi ila linasubiriwa tamko la police rasmi
  5. Mnhenwa Ndege

    JamiiForums Tanzania Said Ntimizi akamatwa kwa mauaji

    kuna kastori hapo
  6. Mnhenwa Ndege

    JamiiForums Tanzania Said Ntimizi akamatwa kwa mauaji

    Mauaji ya mama mmoja mbezi
  7. Mnhenwa Ndege

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mmarekani Armstrong alipokanyaga mwezini 1969 alisikia sauti ya Azaan?

    Hilo si kweli, Kilichomfanya Arstrong awe kimya ni sababu alijua fika kuwa hakufika mwezini. Basi mtu ajaribu Saudia kubadili dini kule ndio kuna haki nadhani watashangilia kabisa.
  8. Mnhenwa Ndege

    JamiiForums Tanzania Serikali: CHADEMA inapewa pesa kutoka nje kuleta machafuko Tanzania

    Unakosea unaposema kuwa Dr Slaa hatakuwa the sixth president; kwanza ulitakiwa kusema fifth president maana kikwete kuwa rais awamu ya pili hakumaanishi kuwa yeye ni fifth president saa hii, anabakia kuwa the fourth president, pili wewe sio mawazo ya watanzania wote. What you need to do is sit...
  9. Mnhenwa Ndege

    JamiiForums Tanzania Rekodi ya Ajali za JWTZ tangu mwaka 2007

    Accountability hakuna, kunatakiwa katika uendeshaji wa serikali kuwe na tradition ya consequence management. Jambo lenye uzito kama huu likitokea, mbali na kushughulikia maafa, pia kutafyutwe kiini cha uzembe au mapungufu na wahusika washughulikiwe. Kama hivyo ndivyo utakuwa utaratibu, basi...
  10. Mnhenwa Ndege

    JamiiForums Tanzania Makombora yatua nyumbani kwa Pinda - Askari Wafuta Picha

    Pengine ni kweli hakuna maafa huko jeshi, time will tell.
  11. Mnhenwa Ndege

    JamiiForums Tanzania U-SPIKA: Sitta, Chenge wapigwa panga CCM!

    Hii kali kweli.
  12. Mnhenwa Ndege

    JamiiForums Tanzania GE2010 Mdahalo wa urais kabla ya uchaguzi mkuu ni lazima

    Mimi naona vyama vyengine vingeendelea na mdahalo kama mwandishi alivyosema (mleta hoja). Kama vyama vyengine havitaki si lazima. Na kama hakuta kuwa na mdahalo wa kitaifa utakao andaliwa na vyama vilivyobaki basi hivyo vyama vitakuwa ni wasindikizaji na havistahili kushinda kwa kukosa ubunifu...
  13. Mnhenwa Ndege

    JamiiForums Tanzania Employer kupekua NSSF ya mwajiriwa

    Vipi baba mbona sikuelewi, sasa balance yako ya NSSF itakuwaje confidencial kwa mwajiri wako wakati yeye ndiye anayepeleka hiyo michango huko NSSF. Na kama mwajiri wako ana rekodi nzuri anaweza kujua balance yako hata bila ya kuletewa hiyo statement. Mimi hucheki balance yangu ya NSSF kutoka...
  14. Mnhenwa Ndege

    JamiiForums Tanzania TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

    He who seeks equity should come with clean hands.
  15. Mnhenwa Ndege

    JamiiForums Tanzania NY Taxi Driver Returns $21,000 Left In Cab

    This is a good one, i like it, God bless him.
Back
Top Bottom