Huyu utapeli kakamatwa kwa kesi ya mauaji kwenye data kamili atupe nyeti
kuna kastori hapo
Story hii imeishia wapi?
kuna kastori hapo
diuuj kagundulika kachinjwa lini
Naona miaka ya matapeli inaisha sasa, walianza papa msofa, akafuata, Alex masawo sasa Saaid mtimiz, bado muzamil, musa, chief kiumba na wengine wengi tu.
Hawa akina Ntimizi wana matatizo sana..juzi ndg yake Musa Ntimizi ameshikiliwa kwa kulawiti..huyu nae..yale yale