Mdahalo wa urais kabla ya uchaguzi mkuu ni lazima | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mdahalo wa urais kabla ya uchaguzi mkuu ni lazima

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mkombozi, Sep 14, 2010.

 1. M

  Mkombozi JF-Expert Member

  #1
  Sep 14, 2010
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Wakuu, Nilikua nawaza sana kuhusu midahalo ya Urais kabla ya uchaguzi mkuu. Pamoja na kwamba SISIMU imekataa mdahalo kwa nini tusiwe na mdahalo wa vyama vingine vilivyobaki? Mdahalo live uandaliwe wa kuhojiana maswala mazito ya nchi na sio maisha binafsi ya mtu.

  Nchi nyingi zilizoendelea zinakua na midahalo mingi, kwa nini Tanzania hala mmoja usiwepo? Mi naona mdahalo uwepo, chama ambacho hakitakuwepo basi tuweke JIWE au bango linalosema *NAOGOPA MDAHALO, SINA CHA KUSEMA*. Then waliobaki waendelee na mdahalo tuone ujuzi na jinsi gani watailetea Tanzania Maendeleo. Kinachotakiwa kufanywa ni kupiga advertisement ya nguvu ili siku hiyo kila mmoja awepo karibu na redio na luninga yake, kwa wale waliopo sehemu ambayo mdahalo unarushwa wahudhurie. Midahalo ya wabunge inarushwa bila SISIMU kuwepo lakini inaonesha ufanisi wa hali ya Juu. Tuwe na midahalo jama, asiyekuwepo hatumchagui kwni kama anakimbia mdahalo basi tukimchagua ikatokea shida atatukimbia pia

  Nawasilisha
   
 2. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2010
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Naunga mkono hoja. Ili watu waone mchele na pumba ziko wapi laivu, hiyo imekaa bomba sema hata TV zetu mchwara hizi zitaringa kurusha midaharo.
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Sep 14, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Kwenye gazeti la Mwananchi la Jmosi kuna mchambuzi aliandika kwamba JK hawezi kukubali mdahalo akiogopa mambo makuu 3, lakini kubwa likiwa ni kuzidiwa mno ki'hoja, na uwezekano wa kuzimia kwa mara ya 4!

  Lakini kimsingi na ijulikane kwamba yule mara nyingi anasoma hotuba zake zote, na hawezi maswali ya papo kwa papo!..Kwa hoja hizo ni bora tu ASIJE kwenye mdahalo, maana kunaweza kutokea MATATIZO makubwa zaidi kuliko kujenga!...huh!
   
 4. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #4
  Sep 14, 2010
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Ni muhimu kwa chama kinachotawala kuwepo kwenye mdahalo kwani ndio sehemu muafaka ya kujibu maswali ya papo kwa papo na kujua kama huyu mtawala anajua anachotawala,unaweza kushangaa kiongozi hajui ni kwa nini wananchi anaowaongoza ni masikini.Suala la chama kutotaka kushiriki mdahalo ni uoga ambao umechangiwa na hali ya kisiasa iliyopo sasa hivi hivyo kutowapa fursa nzuri ya kushiriki na wakiamua kushiriki siku hiyo ndio itakuwa mwisho wa watanzania wengi kukipigia kura CCM.
   
 5. w

  wishega Member

  #5
  Sep 14, 2010
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Mimi sipo mbali sana na mawazo yako kuhusu midahalo ya wagombea ila ninachotaka kuongeza ni kwamba nadhani CCM inaogopa kushiriki midahalo hiyo kutokana na kushindwa kutimiza matarajio ya watanzania katika awamu ya nne inayoishia. Mwl.J.K.Nyerere aliwahi kusema "tutawauliza hata wgombea wenye sifa wanakwenda Ikulu kufanya nini? nNa wakishindwa kutueleza wanakwenda kufanya nini hawatufai", hivyo nadhani wakati sasa umefika tuwaulize kupitia midahalo ili tuwape fursa wale ambao si wanachama wa vyama ambavyo wagombea hao wanatokea kwani wanachama wachache ndio waliopata nafasi pengine ya kuwauliza wanakwenda Ikulu kufanya nini i.e namaanisha wajumbe wa halmashuri kuu tu.
  Namalizia kwa kusema kuwa midahalo ni mahala pekee tunapoweza kuwapima wagombea.
   
 6. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #6
  Sep 14, 2010
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160

  CCM ni waoga wanopa kuumbuliwa wamezoea kudesa na kukariri majibu kuanzia mwenyekiti wao hawajiamini hata kidogo.
   
 7. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #7
  Sep 14, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Ni vipi tutaweza kufanikisha mdahalo ufanyike? Labda tuanzishe kampeni mpya izunguke kwa wananchi kuwa chama kinachokataa mdahalo kisipigiwe kura. BILA MDAHALO, HAKUNA KURA!
   
 8. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #8
  Sep 14, 2010
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  good excellent good nice stay tuned
  wazo limefika penyewe
  tbc wamesikia na undp,canada embassy,american embassy wamesikia.
   
 9. Mnhenwa Ndege

  Mnhenwa Ndege JF-Expert Member

  #9
  Sep 14, 2010
  Joined: Dec 5, 2007
  Messages: 243
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mimi naona vyama vyengine vingeendelea na mdahalo kama mwandishi alivyosema (mleta hoja). Kama vyama vyengine havitaki si lazima. Na kama hakuta kuwa na mdahalo wa kitaifa utakao andaliwa na vyama vilivyobaki basi hivyo vyama vitakuwa ni wasindikizaji na havistahili kushinda kwa kukosa ubunifu. Kuna ruzuku hutolewa kwa wagombea ubunge na urais sasa naona wagombea urais wengi wanajua hawatashinda, kubwa kwao ni hiyo ruzuku, sasa mdahalo wa nini wakati watashindwa mwisho wa siku.
   
 10. Mdau

  Mdau JF-Expert Member

  #10
  Sep 14, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,771
  Likes Received: 251
  Trophy Points: 180
  JK hana touches za kuongea vitu katika logical order,hawezi kukubali mdahalo kamwe...
   
 11. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #11
  Sep 14, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Jamani rais anayemaliza MUDA wake anakonda mno kwa hoja zetu humu.
  ingawa juzi alijitia faraja kwa kusema kuwa wanaccm msitishike na upinzani wala msikose usingizi kwani watashinda kwa kishindo.
  Nilisoma ktk alfu lela ulela kuwa Jini kuu lilipotaka kurudi enzini kwake LILIPIGA mguu kwa KISHINDO.
  CCm inamaanisha kishindo kipi?

  No Mdahalo
  No Kura
   
 12. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #12
  Sep 14, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Wewe mdahalo unaweza kuwepo lakini ukawa staged by Mr T Mhando kama ile nyingine
   
 13. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #13
  Sep 14, 2010
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,451
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Uwezo wa kupambanua mambo wa JK ni mdogo,yani hata hizo hotuba zenyewe anazokuwa keshazipitia anaweweseka,ije kuwa mdahalo? Itabidi kuwepo na Ambulance
   
 14. M

  Msengapavi JF-Expert Member

  #14
  Sep 14, 2010
  Joined: Oct 23, 2008
  Messages: 4,802
  Likes Received: 2,748
  Trophy Points: 280
  Naunga mkono hoja!
   
 15. M

  Mkandara Verified User

  #15
  Sep 15, 2010
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Hapa mkuu wangu umefunga mjadala..
  Mwl.J.K.Nyerere aliwahi kusema "tutawauliza hata wagombea wenye sifa wanakwenda Ikulu kufanya nini? Na wakishindwa kutueleza wanakwenda kufanya nini hawatufai",
   
Loading...