Recent content by Mndamba Namba 1

  1. M

    JamiiForums Tanzania International Psychometric Score anayejua kuhusu hii kitu msaada anayejua

    Guys,mimi mwenyewe nilikuwa nimeomba kazi jamaa wanaitwa Joint Donor Team,wakaniomba nisubmit hiyo Test na kunidirect niwasiliane na jamaa wanaitwa Govran Centre, Daah hawa jamaa kumbe ni matapeli? Ahsante JF kwa kutujuza,vinginevyo mtu unaibiwa hivi hivi.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kama Mungu hayupo, binadamu katokea wapi?

    Mwanzo 1:1-31,2:1-4. inaeleza juu ya uumbaji Ndugu zangu kila kitu kina muongozo wake mfano gari linapotengenezwa linakuwa na manual yake pia ulimwengu una manual yake nayo ni Biblia,ukimwomba Roho Mtakatifu kabla ya kusoma neno la Mungu,utapata kufahamu nini makusudi ya kuumbwa wanadamu na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Je, rais Magufuli alikesha akisoma maoni JamiiForums?

    Nafikiri anasoma maana JF watu wengi wanaitumia kupata habari na jinsi watu wanavyo chambua hoja,nafikiri kitu muhimu ni kuifanya JF ibaki kuwa sehemu ya Great Thinkers na kuacha mizaha na masihala.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Magufuli na usanii wa Hospitali kuu ya Taifa Muhimbili

    Kwa kweli uliyeanzisha mada ulikuwa na swali kama langu,haiwezekani kwa namna yoyote ile hela ambazo zimeamriwa ijumaa zitumike kwa matumizi tofauti na yale yaliyokusudiwa awali tena ya procurement kubwa kama ile then after 1 day vitu viwe supplied that is not possible at all na ukiwa kama...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wanataaluma vyuo Vikuu waikoromea Serikali

    Hii ya lini?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Tofauti kati ya Magufuli na Lowassa wakati wa Uchukuaji wa Fomu za Urais

    Wanatakiwa wawe wapiga Kura wasiishie kushabikia tu, mana watu wa aina hiyo huku wapo na kule wapo
  7. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa tafadhali sana baba, tumeyaona uliyoyafanya

    Mungu ni mwema Dr. Slaa :help::help::help::help:we love you
  8. M

    JamiiForums Tanzania BISHOP KAKOBE::Tanganyika Huru Lazima Ipatikane

    Kakobe ni wewe tu umepata ufunuo huo,tusaidie sisi watanganyika wengine wangepata huo ufunuo wangesema.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa...

    Dah!!!!!!!!! kwa kweli inabidi tuzidi kumuomba Mungu atuepushe mbali. I wish baba wa Taifa angekuwepo maana alikuwa anaogopwa akisema kitu watu wana tii.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Vincent Nyerere ateuliwe mkurugenzi wa kampeni na oparation CHADEMA

    Hongera CHADEMA Hongera Joshua hongereni timu nzima ya Chadema tuzidi kushikamana kuhakikisha mwaka 2015 majimbo zaidi ya 200 yawe mikononi mwa Chadema
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mkapa: tume tangazeni matokeo CCM imeshinda muuwaache waende mahakamani

    Mh hii sina uhakika nayo,tupo source please!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa kuweka kambi Arumeru Mashariki kupangua mikakati yote ya CHADEMA

    hakuna kitu kama iko
  13. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Mchakato wa kuwania Ubunge Arumeru Mashariki umeanza rasmi

    Pamoja sana kamanda aluta continua
Back
Top Bottom