International Psychometric Score anayejua kuhusu hii kitu msaada anayejua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

International Psychometric Score anayejua kuhusu hii kitu msaada anayejua

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Mwana Mnyonge, Sep 3, 2012.

 1. M

  Mwana Mnyonge JF-Expert Member

  #1
  Sep 3, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 346
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  waandugu naomba kuuliza kama kuna mtu anajua kuhusu hii kitu anisaidie nimeomba kzi sehemu wameniambia nitupe na ips ambay kirefu chake ni hicho hapo juu,n hiyo huduma unalipia kwa anayejua anisaidie international job lazima utume hiyo ips
   
 2. m

  mabwepand Member

  #2
  Sep 4, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Mkuu wangu kwa usahuri wangu naona jamaa watakuwa wamekukula hela tena watakuambia ufanye mtihani na dead line wanakupa plus link ya hao jamaa wa mitihani hope ni tumda mkuu wapo Kenya temana nayo kamanda na huo mtihani wa International Pyschomestic Score hawa wanakusanya hela kwa vijana wasiokuwa na kazi utachajiwa takribani KSH 6000 mkuu hawana maana kamanda ni ujanja wa kupata hela
   
 3. M

  Mwana Mnyonge JF-Expert Member

  #3
  Sep 4, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 346
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45

  mkuu nimekupata upo sahihi kabisa nilikuwa nataka kupata uhakika na hiyo kitu kozi nimefanya pepa yao ya kizush hivi bt result had nitume hiyo pesa by the way nahisi kama ni hivi basi issue zimekuwa tight coz hao jamaa wapo kenya na hiyo coy hr wake yupo british daah mjini hapa kazi ipo kweli
   
 4. m

  mabwepand Member

  #4
  Sep 5, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15

  Mkuu Mwana mnyonge temana nao hao watakuingiza mjini jamaaa hawana lolote hope ni hawa
  Client Support Manager
  Tumda Communication
  Psychometric Testing Department
  Nuthu Court, Milimani Nairobi
  email:michael@tumda.comColleen Walker
  Operations & Personnel Manager
  Planet Action Fund
  25 Church Street,BB1 5AF
  Blackburn, United Kingdom
  Tel: +44 7024045789
  Fax: +44 7014019373
  colleen@planetactionfund.org
  www.planetactionfund.org
  kuwa makini mkuu tena waambie huna hela ni vijana wana rise capital kwa ajili wanajua hakuna ajira ukiwalipa KSH 6400 inakula kwako hiyo hela tumia kwa matumizi mengine

  Direct Line: +254208073434
  Mobile Line: +254702645482 na
   
 5. M

  Mwana Mnyonge JF-Expert Member

  #5
  Sep 5, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 346
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45

  kaka nashukuru nimekupata jamaa wenyewe sio hao but naona ni kabila moja wanaitwa Giving Hand Fund hawana tofauti na hao jamaa uliowataja
   
 6. Tungaraza Jr

  Tungaraza Jr Senior Member

  #6
  Sep 5, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 196
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kulaleki JF ni ze noma
   
 7. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #7
  Sep 18, 2012
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,924
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280

  My goodness!! Nilikua najaza form za hawa Giving Hand Fund. Nimekutana na hii Kitu.

  Thanks you JF. Thank you Mwana Mnyonge.

  my word!!!!!!!!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. M

  Mndamba Namba 1 Senior Member

  #8
  Dec 8, 2015
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 113
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Guys,mimi mwenyewe nilikuwa nimeomba kazi jamaa wanaitwa Joint Donor Team,wakaniomba nisubmit hiyo Test na kunidirect niwasiliane na jamaa wanaitwa Govran Centre, Daah hawa jamaa kumbe ni matapeli?
  Ahsante JF kwa kutujuza,vinginevyo mtu unaibiwa hivi hivi.
   
Loading...