Recent content by Mnanje Boy

  1. Mnanje Boy

    JamiiForums Tanzania Msaada: Matibabu ya homa ya nguruwe

    Pole sana Mkuu Najua unapitia kipindi kigumu sana maana anakuja mnunuzi anakuambia akupatie 100k ukiangalia ni Nguruwe mkubwa kama kilo 100+ Sasa chukua salimia ile dawa ya kuchua alafu weka kwenye chakula kama matonye mawili ivi au umwaga kwenye sakafu itapelekea nguruwe kupiga chafya ivyo...
  2. Mnanje Boy

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya mafua na kharisha kwa kuku

    Mafua unaweza tumia dawa Moja wapo kati ya izi Ashienro 10% Fluban Noflox Gold Respostim Kuhara Conrivet powder Noflox Gold Pia jitaidi kufanya usafi mara Kwa mara maana mafua na kuhara inamaanisha kuku wako wapo kwenye mazingira machafu
  3. Mnanje Boy

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Pesa ya kujikumu ni pesa unayo pewa baada ya kurepoti kituo cha kazi maana unakuwa bado auna makazi ya kudumu ivyo itakusaidia wewe kununua mahitaji ya muhimu Kwa kipindi hicho kabla mshahara atujatoka ivyo malipo hayo yanaweza kuwa Kwa siku saba au kumi na nne ivyo 150k*7 au 150k*14 but...
  4. Mnanje Boy

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hongera sana Mkuu
  5. Mnanje Boy

    JamiiForums Tanzania Unajuaje unapata Faida au Hasara kwenye Ufugaji wa Kuku?

    Habari yako Mkuu Nimejaribu kutumia hii App yako aisee ipo poa sana Hongera sana Mkuu
  6. Mnanje Boy

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Tuliwa kuongelea hili jambo umu ndani lakini mwisho atukufikia mwafaka Kuna mdau alisema kwamba Kuna maswali yanakuwa na alama kubwa kuliko mengine ivyo ndio maana watu wanapata alama tasa au witiri
  7. Mnanje Boy

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kwa ninavyo jua mtu anaweza ingia kwenye kanzi data endapo ikitokea watu walio fauru oral wapo kumi na Mwajiri anataka watu nane basi wale wawili watabaki kwenye kanzi data ivyo ikitokea nafasi nyingine watachukuliwa ao wali Lakini ikitokea mme pata alama sawa basi vitu vifuatatavyo vitatumika...
  8. Mnanje Boy

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hapana Mkuu unaweza ingia Oral lakini usiitwe kazini Lakini walisema mwaka huu watakuja na mfumo wa kujua kama upo kwenye kanzi data au aupo maana watu wengi wanapata ukakasi kuendelea na mchakato wa ajira nyingine wakitegemea kwamba wapi kanzi data mwisho wa siku amna kinacho tokea
  9. Mnanje Boy

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Duuh pole Mkuu Fanya mpango ndugu zako wakutumie ivyo vyeti maana Kuna gari zinazo Fanya safari za usiku ivyo wakitutumia kesho asubuhi kabisa unakipata kisha unafanya Usahili Mkuu Maana uwezi jua nini kitatokea aya mambo ya huruma sio kitu Cha kuwa na uhakiaka nacho sana
  10. Mnanje Boy

    JamiiForums Tanzania Ni wengi wanatamani kurudi CHADEMA.. lakini....!!!!

    Mjomba Sina Nia nao mbaya lakini jee unaijua timu yako? Maana tabia ni kama ngozi ya mwili uwezi ibadirisha mjomba Mtoto wa nyoka afundishi kuuma mjomba Ukicheka na nyani utavuna mabua Mjomba Maskini mtu kwao mjomba ugeni sio kitu chema Mjomba Kuanza upya sio ujinga mjomba timua wote Mbwa afi...
  11. Mnanje Boy

    JamiiForums Tanzania FT: RS Berkane 2-0 Simba SC | Fainali CAF Confederation Cup | 17 Mei, 2025

    Pigaaa haooooooo
  12. Mnanje Boy

    JamiiForums Tanzania The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Daah inauzunisha sana
  13. Mnanje Boy

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Najua kiasi gani umekasirika Mkuu baada ya kusoma comment ya uyo ndugu yetu Lakini aina haja ya kumuita jina la mnyama maana mnaweza kuanza kutoleana maneno yasio na staha ivyo inatosha kumkumbusha kwamba hii thread ni yamuhimu sana alafu tulikubaliana kama kitu uji ni vyema kukaa kimya maana...
  14. Mnanje Boy

    JamiiForums Tanzania Oral interview customs officer II nimekula za uso

    Mkuu usikate tamaa kumbuka oral ni trick sana maana kila mtu anainga kivyake Wewe umejibu hayo mawili lakini Kuna watu awajajibu ata swali moja ivyo usijishushe thamani Mwisho kabisa usache kutoa Sadaka na kwenda kwenye nyumba ya ibada kuomba maana Mungu ni wetu sote Mkuu
  15. Mnanje Boy

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kwa ambaye ajaitwa kwenye interview kwa sababu yoyote ile tangazo hili lina muhusu
Back
Top Bottom