kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 13,753
- 25,595
Hakuna tatizoAjibu kitu ambacho hakijui?
Kwa mfano huujui huo msamiati uitwao remission ukawaambia wakupe ufafanuzi ili ujibu vyema kuna tatizo lolote hapo kwenye intavyuu ?
Hakuna tatizoAjibu kitu ambacho hakijui?
Kwa mfano huujui huo msamiati uitwao remission ukawaambia wakupe ufafanuzi ili ujibu vyema kuna tatizo lolote hapo kwenye intavyuu ?
Basi hakuna interview ngumu hapoHakuna tatizo
Ungekosa ila kikubwa ungekua umeattempt swaliBasi hakuna interview ngumu hapo
Kwa mfano nikawajibu kuwa benefit ya duty remission kwa customer ambaye ni regular nasisitiza ambaye ni regular ni kwamba ataona thamani anayopewa na kampuni hii itamfanya awe mteja mzuri zaidi na atakuwa balozi mzuri kwa wateja wengine ila remission ifanyike kwa makubaliano kuwa alete wateja wapya kwanza (nmezingatia wanayopenda kuyasikia hao ma boss wanaopigisha usaili)
Ningepata au ningekosea?
Ukipewa msamiati ambao huujui unawaomba ufafanuzi wa huo msamiatiWanakupa vi misamiati vya ajabu au vya kitaaluma ambavyo laiti ukienda kutafuta maana yake utajiona bonge la moja pimbi, poleni sana.
Kaka sikuacha swali coz najua side effects zake, hakuna swali ambalo niliacha aisee ila maswali mengi yilikuwa ni ya ufikiri?Interview za serikali ukiulizwa swali usiseme hujui au ukakaa kimya,bora ujibu hata kama ukikosa kuna namna nyingine huwa wanaangalia namna ya kuadjust marks
Jamaa wanakuuliza huku wanacheka ulianza kujibu wanaondoa sura za kucheka wanakaza macho kukusikilizaHii mitihani ya oral ambayo malecture/NBAA sio mchezo majority kila mtu kuna sehem kala za uso.Kuna mtu alifanya vizuri written alipata 97 kaenda oral kumuuliza anasema aliyoyakuta hakutegemea yaan ni maswali ambayo hakutarajia ni kuomba tu Mungu
WASOMI HI!Wazee at my age nimeshahudhuria interview nyingi za oral na written, ila ya leo wazee nisiwe muongo nimeshikwa pabaya, kama kawaida yangu nilijiandaa vya kutosha na nikahakikisha niko nondo, nikijua kuwa naenda kwenye interview ya oral na kawaida huanza na swali la introduce your self,
Ila nikakutana na benefits of duty remission 🤣🤣🤣, mpaka hapo nikawa nje ya mchezo, anza kujiuliza kwa hiyo leo swali letu pendwa halipo?? Huku unaumiza kichwa kutafuta hizo points za duty remission, unasema likitoka hili litakalokuja lazima ni-equalize,...
Hee kinaingia chuma tena cha moto kuliko cha kwanza, Wazee yani katika maswali saba just maswali mawili ndio nimetembea with full of confidence,... Sijawahi toka usahili wa oral nikiwa natetemeka na sina matumaini,..... Hebu candidates wenzangu wa custom officer niambieni kama macho yamenitoka peke yangu
By The way duty remission nilikuwa naifahamu na nilikuwa naiona kama term tuu, katika kitabu cha NBAA wameidefine na maelezo machache kama za two lines, ila sasa ukiwa under room temperature unashtukizwa uanze kutafuta advantages zake, aisee jamaa waliniweza halafu hilo swali nilijibu ila points za kutafuta huku unatetemekaDaaah,pole sana ila swali lilikua rahisi mno mkuu sema labda ulipanic,ungeijua tafsiri ya hiyo duty remission tu ulikua umetoboa,sio mbaya ndio kujifunza kwenyewe huko
Kaka inafika mahali kwenye hilo swali point haziji kila ukitafakari mtu unaona bora ukubali yaishe hapo ujaribu swali jingine, mm nashukuru baada ya kuchemka swali moja basi yalio fata niliweza kujibu yote kwahio nilikosa swali moja ambalo kila nikiwaza wapi mkuu..😀Interview za serikali ukiulizwa swali usiseme hujui au ukakaa kimya,bora ujibu hata kama ukikosa kuna namna nyingine huwa wanaangalia namna ya kuadjust marks
Tushakuchukua wewe, ondoa wasiwasiKaka inafika mahali kwenye hilo swali point haziji kila ukitafakari mtu unaona bora ukubali yaishe hapo ujaribu swali jingine, mm nashukuru baada ya kuchemka swali moja basi yalio fata niliweza kujibu yote kwahio nilikosa swali moja ambalo kila nikiwaza wapi mkuu..😀
Hahahaha mkuu hiyo kazi ya mungu sasa..😀 acha niendelee kumtegemea mungu tu sasa..🙏Tushakuchukua wewe, ondoa wasiwasi
TMO mliulizwa maswali yapi mkuuBro TMO nmeifanya jana akili imevurugika yani discussion zote zile ni kama nmekesha bure
TMO ya assistant mkuu sio..?TMO mliulizwa maswali yapi mkuu
Hapana, assistant ni TMATMO ya assistant mkuu sio..?
Xstics of tax, method protectionism, advantages of double taxation, reasons for adjusted assessment,TMO mliulizwa maswali yapi mkuu
Mkuu mambo Vip? Sorry TAA Oral customer service officer waliuliza maswali gani?Kaka inafika mahali kwenye hilo swali point haziji kila ukitafakari mtu unaona bora ukubali yaishe hapo ujaribu swali jingine, mm nashukuru baada ya kuchemka swali moja basi yalio fata niliweza kujibu yote kwahio nilikosa swali moja ambalo kila nikiwaza wapi mkuu..😀
Mkuu kwani ww TAA huku fanya ile ya customer Dodoma..?Mkuu mambo Vip? Sorry TAA Oral customer service officer waliuliza maswali gani?