Recent content by Mmongolilomo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Jina la movie hii tafadhali

    Escape from Sobibo
  2. M

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Hekaheka za Komando Zedi Wimba na Jasusi Honda huko Somalia

    Bomba sana Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Sala ya Sarah

    Tunapaje hivyo vitabu? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje kwa wanaochukua mkopo kwa hati za nyumba zisizo zao?

    Benki nazo zinatoaje mikopo kwa mtu ambaye hati si yake.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Utaratibu wa kubadili jina la hati ya kiwanja!!

    Kwakuwa wewe ni mrithi wa Mali na madeni ya marehemu ni lazima utakuwa na barua ya mahakama ya uteuzi wako. Then nenda kwa mwanasheria ili akuandalie fomu za usajili ardhi ambaxo ni "Application by personal legal representative " na Assent the benquest form. Kama kiwanja kina hati nenda ofc ya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania PENDEKEZO: Rais Magufuli, anzisha Vijiji vya Ujasiriamali

    Daah hii migogoro ya mipaka ya vijiji vilivyopo inatosha. Hebu tufikirie namna ya kupata ardhi iliyo ndani ya vijiji hivyo kwa ajili ya lengo uliwazalo na si kuanzisha yaani daa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa hajawahi kukataliwa na CCM!!

    Hivi alivyoenda CDM aligombea na nani vile. Mnikumbushe! Utaratibu wa CDM kumpata mgombea wa urais ukoje vile.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa alitema big G kwa karanga za kuonjeshwa

    Waache wabwabwaje. Ana haki na mamlaka ya kukemea kile alichokiamini ni kero ktk maisha ya watz na akabaki kuwa kiongozi. Dk Slaa
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hongera Kamanda Mbowe, UKAWA/CHADEMA itang'ara hakuna wa kuizuia

    Kazi mno. Wachumia tumbo kazini.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kadi za ACT zagombaniwa kama njugu Arusha mjini

    Nchi inahitaji maombi maalum
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wandugu wa jukwaa lengwa naombeni msaada kwa hili!

    Hairuhusiwi na kinyume cha sheria ya Ardhi Na.4 ya 1999 kwa mtu yeyote asiye raia kumiliki ardhi nchini. Isipokuwa kma ni mwekezaji anaweza akapewa derivative right(sect 20 of the Land Act).
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Ziwa Nyasa: Punda afe mzigo wa tajiri ufike?

    Wamalawi bado wanakaribisha mazungumzo kulingana na Taarifa zilizotoka jana usiku. Mwenzetu Lowasa anataka vita ( M/K wa kamati ya Ulinzi na Usalama) cha kushingaza si mtendaji wa serikali ni mshauri wa mambo ya ulinzi. Anashauri vita. Tumemgundua wanataka kututoa kafara ssi watz tunaoishi kando...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya serikali ya tanzania 2012/2013 (kiswahili)

    Kwanza tupitie ndio tuidadisi
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wa JK: Ngeleja na apartment ya $350,000

    Duh hii kali msishangae sana naye ni mwekezaji wa ndani.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Farewell-Kwaheri Regia: A Tribute Page

    Pole CHADEMA pole watanzania kwa kumpoteza kiongozi shupavu na mwenye kiu ya maendeleo. Mungu ailaze mahali pema poponi roho yake Amen.
Back
Top Bottom