Sheria inasemaje kwa wanaochukua mkopo kwa hati za nyumba zisizo zao?

CONSTRUCTIVE THOUGHT

JF-Expert Member
Jul 10, 2015
1,158
417
Siku hizi pamekuwa na tabia ya watu kuiba hati ya nyumba na kwenda katika taasisi ya fedha kuchukuwa mkopo bila ridhaa ya mwenye hati.

Inawezekanaje mtu apewe mkopo kwa hati ambayo haina jina lake? Sheria inasemaje katika hili?
 
Back
Top Bottom