LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,348
- 3,219
Je? Sheria ya hapa Nchini inasemaje kuhusu raia wa kigeni aliyefika hapa Nchini na hakupata uraia bali ana pass ya kusafiria, Anaweza akanunua makazi yoyote ikawa mali yake?
Tuseme anataka kiwanja na kiwanja kina nyumba ya kuishi ndani,anaweza akanunua na akawa mmiliki halali ingali si raia halisi?
Naombeni mwenye uelewa na hili anidodose itakavyokuwa.
Ni hilo tu Ndg zanguni maana naamini JF ni mambo yote!
Pamoja sanaaaaa!