Kuna Video clip inazunguka mitandaoni ikimuonyesha Dkt. M.Mwanjelwa na wajumbe wakipeana hongo.
Kama itathibitishwa itakuwa imemmaliza kabisa kisiasa huyu Mama ikizingatiwa amekuwa Naibu Waziri kwa muda mrefu, Tena kwenye Wizara inayohusika na mapambano dhidi ya rushwa na utawaka Bora.
Naamini...
Katibu wa chama tawala, lazma afanye hivyo sababu ana jukumu la kuisimamia serikali.
Kuhusu ulinzi wa polisi aliopewa na sababu ameomba kibali na kupewa ulinzi.
Kuhusu kilichotokea Tunduma ni zuio based on usalama wa wananchi, wewe na mimi tunaweza tusijue ila wanausalama professionals wakanusa...
Nyota ya neema imezidi kushukia sekta ya Benki baada ya Mabenki 11 kati ya 12 kutangaza kutengeneza faida mwaka 2019.
Ongezeko hilo likitoa picha ya kuimalika kwa Uchumi wa Tanzania ikizingatiwa kuwa Mabenki makubwa yote ya tire one kutangaza kupata faida na kupunguza idadi mikopo isiyolipika ...
Uko sahii upande flani ila juhudi za uongozi madhubuti wa Serikal ya JPM ndo chanzo cha mafajikio hayo.
Ukisema kuwepo, Utaulizwa kwanini hawakuwa wakija kwa wingi hivyo awamu zilizopita?
Ziada, JPM na serikali yake lipondwa sana alivyoanzisha baadhi ya kodi eg ile ya mahotel ya kitalii. Wajuvyi...
1-Sheria zetu zilitungwa kifisadi na kuacha mianya ya Wezi kushinda kesi kilahisi.
Ndo maaana kina Chenge wanatamba kuwa hawafungiki.
Kibaya zaidi Bunge limejaa kizazi cha wezi bado so haziwezi badirishwa leo.
2-Majaji wetu.wananunulika kilahis na wenye fedha ndo maana unaona walikumbukwa kwenye...
Angeamua yeye angekuwa ametukosea, but angeamua mtoto wake au kaka yake na kujijenga vizuri mpaka kukubalika.
Isingekuwa Tatizo.
Hussein Mwinyi angeamua angeishi kama watoto wengine wa viongozi kula bata na kutoishi maisha yaliyonyooka kujijenga kisiasa.
Ila kachagua kuishi kama MTU wa kawaida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.