Kwa faida hizi za mabenki, uchumi uko imara

Mmexico

JF-Expert Member
Nov 1, 2016
369
328
Nyota ya neema imezidi kushukia sekta ya Benki baada ya Mabenki 11 kati ya 12 kutangaza kutengeneza faida mwaka 2019.

Ongezeko hilo likitoa picha ya kuimalika kwa Uchumi wa Tanzania ikizingatiwa kuwa Mabenki makubwa yote ya tire one kutangaza kupata faida na kupunguza idadi mikopo isiyolipika .

NMB toka 97 hadi 148 Bilion
CRDB toka 69 hadi 122 Billion
STANDARD CHARTERED toka 20 hadi 34 Billion
NBC toka 10 hadi 22 Billion
AZANIA BANK toka 5 hadi 12 Billion
DTB toka 15 mpaka 17 Billion
STANBIC toka 16 mpaka 21 billion
POSTAL BANK 12 mpka 16 Billion
KCB 9 hadi 14
Exim toka HASARA mpaka Billion 9
Absa toka 6 hadi 9 Billion

Hili linatoa picha nzuri kwa uchumi wetu na faraja kwa wawekezaji.
 
Angalia source ya mapato. Mabenki mengi yamejikita kwenye service charges, kutoa hela ATM, dirishani, kuangalia salio, bank statement, makato ya mwezi, kutuma hela, interest kwenye kukopesha wafanyakazi kwa mwezi in short wanafanya wizi tu hakuna significant value addition wanafanya. Mfano interest rate mpaka 25% wakati kuna nchi zina only 3%. Haya mabenk ys Tz ndio yanayoleta umaskini kwa watu na kujineemesha. Sasa ujinga wa watu kwao ni faida. Kuna mambo hata hayastahili kuchjajiwa hela mfano kuangalia balance.
Hao ni wezi walioidhinishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Still bado saana, yaani mabenki yoote hayo hayajafikisha 500B, kweli uchumi wetu mdogo.
Sasa kwa namna hiiyatawekezaje kwenye viwanda, au mikopo mikubwa? yaani ndo kusema mtu akitaka kufungua kiwanda cha 500B yeye awekeze 300B na akope the remaining, basi mabenki hayataweza hilo, what if kuna watu wenye business hizo 3-5 means mabenki hayawez kukopesha makampuni makubwa na means uchumi wetu hauwez piga hatua kuubwa kwa haraka.
still tunahitajimabenki makubwa matatu-manne ambayo yanaweza kopesha mpaka terilion 10 kwenye mikopo mikubwa mikubwa, na still ikaendelea kutukopesha na sie walala hoi hapo ndo uchumi utakuwa kwa mwendo wa mwanga.
 
Hiyo ni ripoti ya mwezi au mwaka mzima wa 2019 inakuaje bank izidiwe faida na bwana Diamond Platnum
 
Sasa watupe wanahisa gawio inayoendana na faida waliyopata. Haingii akilini Benki ya CRDB inatoa Tshs.8.00 kwa hisa wakati NMB wanatoa Tshs.100.00 kwa hisa.
 
Angalia source ya mapato. Mabenki mengi yamejikita kwenye service charges, kutoa hela ATM, dirishani, kuangalia salio, bank statement, makato ya mwezi, kutuma hela, interest kwenye kukopesha wafanyakazi kwa mwezi in short wanafanya wizi tu hakuna significant value addition wanafanya. Mfano interest rate mpaka 25% wakati kuna nchi zina only 3%. Haya mabenk ys Tz ndio yanayoleta umaskini kwa watu na kujineemesha. Sasa ujinga wa watu kwao ni faida. Kuna mambo hata hayastahili kuchjajiwa hela mfano kuangalia balance.
Hao ni wezi walioidhinishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Umesema kweli mkuu, nilienda Azania bank kutaka bank statement na covering letter nikachajiwa Tsh 75,000 kwa kweli nilishikwa na butwaa.
Hivi hakuna chama/Sheria ya kutetea walaji/Consumers?
Watanzania tunaumizwa sana.
 
Still bado saana, yaani mabenki yoote hayo hayajafikisha 500B, kweli uchumi wetu mdogo.
Sasa kwa namna hiiyatawekezaje kwenye viwanda, au mikopo mikubwa? yaani ndo kusema mtu akitaka kufungua kiwanda cha 500B yeye awekeze 300B na akope the remaining, basi mabenki hayataweza hilo, what if kuna watu wenye business hizo 3-5 means mabenki hayawez kukopesha makampuni makubwa na means uchumi wetu hauwez piga hatua kuubwa kwa haraka.
still tunahitajimabenki makubwa matatu-manne ambayo yanaweza kopesha mpaka terilion 10 kwenye mikopo mikubwa mikubwa, na still ikaendelea kutukopesha na sie walala hoi hapo ndo uchumi utakuwa kwa mwendo wa mwanga.
tofautisha profit na capital hiyo ni faida tuu sio mitaji hizo 500b unakopeshwa tu kama una security hatamue 100

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tofautisha profit na capital hiyo ni faida tuu sio mitaji hizo 500b unakopeshwa tu kama una security hatamue 100

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama faida ni ndogo, how do you make new investments?
They need 3-10 Trilion faida per year, means hii sekta inahitaji uwekazaje mpya. maana mabenki ndo yanachochea uchumi ss kama hayana ukwasi wa kutosha then uchumi utabaki dormant au utajongea taratibu mnoo
 
Umesema kweli mkuu, nilienda Azania bank kutaka bank statement na covering letter nikachajiwa Tsh 75,000 kwa kweli nilishikwa na butwaa.
Hivi hakuna chama/Sheria ya kutetea walaji/Consumers?
Watanzania tunaumizwa sana.
Kuna tume ya ushindani mkuu.

Bank statement ilikuwa ina page ngapi?
 
Angalia source ya mapato. Mabenki mengi yamejikita kwenye service charges, kutoa hela ATM, dirishani, kuangalia salio, bank statement, makato ya mwezi, kutuma hela, interest kwenye kukopesha wafanyakazi kwa mwezi in short wanafanya wizi tu hakuna significant value addition wanafanya. Mfano interest rate mpaka 25% wakati kuna nchi zina only 3%. Haya mabenk ys Tz ndio yanayoleta umaskini kwa watu na kujineemesha. Sasa ujinga wa watu kwao ni faida. Kuna mambo hata hayastahili kuchjajiwa hela mfano kuangalia balance.
Hao ni wezi walioidhinishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
ndo namna pekee ya wao kupata faida.
 
Back
Top Bottom