Sisyphus
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,271
- 7,376
View attachment 298643 njoo uukalie chuki zako zitaisha
akuchukie kisa nini unaambiwa ukwely acha longolongo...
View attachment 298643 njoo uukalie chuki zako zitaisha
sayari ni nini?ulimwengu wa kiza uko sayari gani????? mars au
Damn .... limepigaaaScientifically tu ili uwe avoided na Radi epuka kutembea sehemu ya wazi wakati radi inapiga mana mwili wako ni kipitisho cha umeme kama utakuwa sehemu ya wazi radi iki strike ikakutana na body yako basi umeme uta pita ktk mwili wako na kukugeuza mkaa lakini pia wale wenye majengo marefu basi lightning arrestors zinahitajika pia Zima umeme kama huna devices ya kulinda loads zako na Radi...Mambo ya nguo nyekundu sijui nani kakutumia radi tuyaache kabisa
Du! Mimi nimechunga sana kondoo huko kijijini kwetu Mchambawima lakini sijawahi kushuhudia kitu hii. Mnaofahamu hii kitu naomba mtufahamishe zaidi.Mlamke! Kuna huyu mnyama mwenye tabia za pekee za kustaajabisha asiyeogopa kifo si mwingne naye ni kondoo.
Nmewahi kuwaona kondoo mara nyngi pale radi inapomulika na kutoa sauti huyu mnyama anabadlika anajiweka mazingira ya kugombana.
Inafikia hatua anajiandaa kabisa anarudi nyuma kama kwamba anataka kupiga kichwa kitu.
Zaman wazee walifikia hatua ya kumfungulia pindi radi zikianza waliohofia kuwa anaweza kufa.
Sasa je kuna reaction gani kati ya radi na kondoo? Wakat radi sio mnyama?.
mshana jr , christina ibrahim , The Boss Malafyale nawengne wengi njoon hapa