james chapacha
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 939
- 200
kumbe kuna mijipu haipasuriki hata kwa shoka?au walikuwa wanatumbua chunusi?
Ili kuondoa wingu lililopo Maana CAG anasema ni Lao na wao wanasema sio Lao , na Huko nyuma lilikuwa audited na CAG Leo hii wanasema sio LaoSasa kama sio mali ya serikali,kwanini wawajibike kujibu maswali yako yote hayo..
yani vuruguuuuuKwa
Ili kuondoa wingu lililopo Maana CAG anasema ni Lao na wao wanasema sio Lao , na Huko nyuma lilikuwa audited na CAG Leo hii wanasema sio Lao
hapa naona kama marais wote hawakupoteza mudaMbona kuna utata wa hoja juu ya taasisi yenyewe?
hapa naona kama marais wote hawakupoteza mudaMafurufuru naye anaweza kuwa jipu lililowiva