Bila shaka kuitaja shule kwa jina lake ni ushahidi tosha kwa asiyeamini anaweza kwenda kutaguta uhakika huko..by the way hali hiyo ipo maeneo mengi haswa ya ukanda wa kati..bila shaka hii inachangiwa na nature ya mazingira na watu wenyewe wa maeneo husika...sometimes siyo lazima kila lawama...
Hapa mi mgeni......kwa.mujibu wastatement yako ilivyokaa tafsiri yake ni kwamba wote walioko perfect in thar way wapo na hiyo tabia...kwa mantiki mi nakataa....nina sifa zote isipokuwa namba tatu na sina wanawake wengi...sihongi bali namhudumia mpenzi wangu
Kwa kuongezea katika hili ni kwamba umri mzuri kwa mwanaume ni kama ulivyotajwa hapo juu ambao kibaiolojia ndio productive period kwa mwanaume na watoto wanaopatikana katika umri huo obviously wanakuwa na uwezo mzuri kiakili..more than that kwa uzao wa kwanza huwa ni majanga matupu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.