Zijue sifa za mwanamme mwenye wanawake wengi

Zijue sifa za mwanamme mwenye wanawake wengi

hii seredi italeta mtafaruku kwenye mahusiano.

mfano KE akiona ME akipaform sana anaweza mtilia shaka,
so akaleta twimbili wakati ni inosenti kbsa
 
Zijue sifa za mwanamme mwenye wanawake wengi.

1. Mtanashati
2. Story nyingi za uongo
3. Hahongi ovyo
... 4. Anajali zaidi ya mama yake
5. Hujituma sana kitandani
6. Mtamu kimahaba
7. Mtundu wa kumkojoza mwanamke
8. Mwepesi wa kuaga baada ya kukojoa
9. Mwepesi wa kubembeleza
10. Ana ratiba nyingi kama saa,hatulii

Namba 3 imekaa vizuri
 
Very true! Yaani yeye na mama yake ni close ile mbaya. Anajituma mnoooo kitandani. Hataki maswali, yaani usimuulize mambo mengi, sio eti how was your past, nk. From the beginning atakujengea mazoea kwamba eti anawahi kulala so hata ikitokea ukampigia simu saa 6 usiku asipopokea basi usimlaumu ujue alilala. Hataki mbwembwe za sms nyingi za mapenzi coz anajua atachemsha si anao wanawake wengi! Utaenda kwake kwa ratiba maalum tu! nk nk
 
Zijue sifa za mwanamme mwenye wanawake wengi.

1. Mtanashati
2. Story nyingi za uongo
3. Hahongi ovyo
... 4. Anajali zaidi ya mama yake
5. Hujituma sana kitandani
6. Mtamu kimahaba
7. Mtundu wa kumkojoza mwanamke
8. Mwepesi wa kuaga baada ya kukojoa
9. Mwepesi wa kubembeleza
10. Ana ratiba nyingi kama saa,hatulii

Hapa mi mgeni......kwa.mujibu wastatement yako ilivyokaa tafsiri yake ni kwamba wote walioko perfect in thar way wapo na hiyo tabia...kwa mantiki mi nakataa....nina sifa zote isipokuwa namba tatu na sina wanawake wengi...sihongi bali namhudumia mpenzi wangu
 
hilo la password nimelikubali muda wote simu yake anakuwa mkali ikiguswa
 
Nimecheka sana aiseeee...Basically nimeishi hivyo for 5 yrs, nilikua kila cku na hustle kupata new chich yani, nilikuwa cna aman na cm yangu maana naweza kuwa nachhat na wapenz zaid ya 6 at the same time,ucku nazima cm, atakayekuja ghetto bila taarifa ujue kanifumania, nilikua cpendi kupunguza orodha yao bali ni kuongeza whennever i get a chance, nilikua nadanganya mpah nasahau huyu nilimwambiaje na huyu aje, somedays waeza gegeda hata wa3 a day na wote lazma wakojozwe, furaha yangu kubwa ilikuwa ni kutawala stage na kumkojoza hata mara 3...Am glad sasa nimebadili mob number,nime block accounts zote kwenye social ntworks kasoro hii ambayo aijuayo, nina mchumba na nipo huru nae yani zaidi ya sana ila hajui background yangu, Namuomba Mungu nisirejee kule maana nimeumiza zaid ya wadada 60 kwa ujanja wa kipuuzi.....Nime2bu na ninaendelea kutubu..
 
Zijue sifa za mwanamme mwenye wanawake wengi.

1. Mtanashati
2. Story nyingi za uongo
3. Hahongi ovyo
... 4. Anajali zaidi ya mama yake
5. Hujituma sana kitandani
6. Mtamu kimahaba
7. Mtundu wa kumkojoza mwanamke
8. Mwepesi wa kuaga baada ya kukojoa
9. Mwepesi wa kubembeleza
10. Ana ratiba nyingi kama saa,hatulii

Ha ha ha ha very true kabisaaaaa....sema hiyo #2 sidhani
 
1
7. Simu yake bussssy mda wote hasa usiku,ukimpata hewani tu utasikia nipo busy ntakushtua,kuna 'ishu flani namalizia' wazee wa ishu!


Hahahaha, unatuonea bhana, kuna ishu fulani kweli tunakua tunafanya!
 
Zijue sifa za mwanamme mwenye wanawake wengi.

1. Mtanashati
2. Story nyingi za uongo
3. Hahongi ovyo
... 4. Anajali zaidi ya mama yake
5. Hujituma sana kitandani
6. Mtamu kimahaba
7. Mtundu wa kumkojoza mwanamke
8. Mwepesi wa kuaga baada ya kukojoa
9. Mwepesi wa kubembeleza
10. Ana ratiba nyingi kama saa,hatulii

hapa sijakusoma kitu, una maanisha akiwa na sifa mojawapo kati ya hizi au akiwa nazo zote? jibu lako lolote utakalonipa still you are totally wrong.

1. wanawake wote wanataka mwanaume mtanashati... nani ambae anataka mwanaume mchafumchafu?
2. hapo kwenye stori za uongo haina ushahidi kuwa lazima awe na wanawake wengi anaweza kuwa muongo tu naturally
3. sasa kuhonga nayo ni sifa? player anahonga na asiye player ana honga
4. kheeeee? sasa unataka mtu asimjali mama yake? u must be kiddin me
5. usipojituma utachapiwa utaishia kuimba wimbo wa rich mavoko
6. women are so complicated beings, ukiwa mtamu kimahaba wewe player hahahahahhahaha
7. hahahahhahahaaaa nimecheka tu
8. no comment
9. wanawake wanapenda kubembelezwa,
10. mwanaume kuchakalika, sio kukaa kaa tu tutakula mapenzi?
 
Back
Top Bottom