Recent content by mmasai halisi

  1. M

    Masikini kaka huyu

    amefanikiwa kwepa mda wote uo,sasa iv akigusa tu amenasa.maana inaonesha mwanamke anataka wapate wote.as ad apo swali n mwanamke aliupata wapi?nje ya ndoa?.jibu n ndio.so anataka washee io.akimbie haraka sana
  2. M

    Najuta kuoa mwanamke mwenye mtoto

    pole sana mkuu,ila kiukweli hapo mkewako unasaidiwa hadi mengine na uyo baba wa zamani,waarabu wanawezana na waarabu wenzao.kama baba yake yupo na shule anaenda kwa nn hamlipii ada mwanae?.mkeo mtaalamu anapiga kona yeye na kichwa anafungwa mwenyewe.pole sana
  3. M

    Ajali: Mabasi ya Ngorika na RATCO yamegongana uso kwa uso na kusababisha vifo

    ukiachilia mwendokasi wa ngorika,pia magari yake mengi ni chakavu.balaa hili
  4. M

    Poleni kwa upweke Maaskari wa kike

    siku ukimzingua unaamkia selo!
  5. M

    Mke anahitaji kushiriki tendo la ndoa mara ngapi kwa wiki?

    kila akihitaji unatoa!kwan ww nawezajua chafya unahitaji kupiga mara ngapi kwa siku?
  6. M

    Kazi yako ndio ulipanga toka utoto?

    Mi nilitamani kuwa polisi nikiangalia yale magwanda niliyapenda sana lakini leo majanga!
  7. M

    Regina Mwalekwa wa Clouds FM alamba shavu BBC!

    Hivi kibonde anafanya kazi gani vile?
  8. M

    Gari Suzuki Omni inauzwa!

    Picha za ndani nitaatach kesho kwani nipo mkoani na gari ipo dar, Sababu ya kuuza ni kwamba niliinunua kwa ajili ya biashara kwani mkoa nilipokuwa kulikuwa hakuna magari ya kutosha sasa Sumatra wamevikataa kuvisajili so hakuna njia zaidi ya kuuza. Engine ni nzima unaweza kwenda popote Tanzania...
  9. M

    Gari Suzuki Omni inauzwa!

    Wakuu habari ya asubuhi? Nina kagari kangu Suzuki Omni ya 2010, ina km 53,000 namba BRS inauzwa bei 6,000,000/= ipo kwenye hali nzuri anayehitaji anipm.
  10. M

    Biashara ya bodaboda!

    Natumia TBetter
  11. M

    Biashara ya bodaboda!

    Nomefanya biashara hii Kwa miaka almost miwili, kama biashara zingine ina changamoto zake Kwa eneo nilipo hesabu ni 50,000/ wk changamoto ni kwamba vijana ni waharibifu sana so ninachofanya ni kukaa na pikipiki Kwa mwaka mmoja ukiisha nauza makusanyo yoote nakuuza ninanunua pikipiki mpya na...
  12. M

    Ajali barabara ya Makambako Njombe

    Nilishindwa kuupload picha
  13. M

    Ajali barabara ya Makambako Njombe

    Nipo safarini nimekutana na ajali ya gari ya surf ambayo ilikuwa ikitokea Njombe iligonga Fuso uliyokuwa imeharibika barabarani!, mtu mmoja amepoteza maisha
Back
Top Bottom