Wanaume kushikashika sehemu za siri ni kwa nini?

Wanaume kushikashika sehemu za siri ni kwa nini?

na wewe kila ukitembea unachungulia mashine za wanaume tu, una njaa nazo kweli!
 
kuna wengine wameyaongeza sasa yanakua mazito inabidi wawe wanayashikilia kidogo ili kupunguza uzito na ni muhimu kuhakikisha kama yapo unaweza ukajikuta na papuchi buree
 
Kuna raha yake. Km huamini jaribu uone usiandikie wino wkt mate yapo
 
Labda huwa wananyoa na wembe zile nywele za sehemu za siri ndio maana
 
Kama huyu kaseja.jpg
 
nanilliii inakuwa imekaa upande au mebanwa na boxer.... kwa wale wanaovaa pichu nakuwa imetoka nje ya pichu wanarudisha.... au imekaa upande mbaya ndiyo maana wanashika... au wanawashwa

jama jamaa! inaonekana upo makini sana kuchunguza hii jinsia wewe
 
wanapukuchua mahindi au wanapiga puli,umenkumbsha jamaa mmoja yeye alikuwa ametoboa mifuko yake ya suruali ili akitaka kupiga puli anaingiza mkono mfukoni anajisugua sasa kuna mdada mmoja anapenda sana kupiga mizinga cku hiyo kamkuta jamaa katulia yule mdada akamuomba buku basi jamaa akamtel yule dada chukua mfukoni kumbe jamaa kautegesha mdushe dada ile kuingiza tu kakamata dushe aliruka huyooo loh

daaah, haya bana!
 
Huwa tunashika sehemu ya mwili km viungo vingine,sehemu za siri ni Sirius kweli huwezi kuzishika kwa urahisi!
 
Back
Top Bottom