Baada ya kuona wateuzi wa mikoa ,hasa wanajeshi (anayekwenda Kagera) ,nimejiluliza hii status quo itakwisha lini?Huyu Kanali anasifa gani za kuongoza mkoa huo?Nikakumbuka haya mambo yalianza tangu enzi za Nyerere,kuteua mabalozi,DC,RC wanajeshi wastaafu .Hii ilikuwa wakati wa ukoministi,dunia ya...