Tujihadhari na NIGERIANS | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tujihadhari na NIGERIANS

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mmakonde, Jun 19, 2011.

 1. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2011
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Hawa watu ni dangerous!
  Fika South Africa uone walivyosambaza drugs!

  Kumuona Mnigeria Tanzania ujue huyu ameshindwa kwenda Ulaya,either allikataliwa visa au deported.
  Sijui kwa nini Uhamiaji wanatoa visa kwa hawa watu?

  Kuna ulimbukeni wa makanisa Tanzania,mbaya zaidi kamaukimwona mwafrika mwenzako anahubiri kwa KIINGEREZA basi tunawaona ndio kama JESUS.
  Drugs ni mbaya inafuel violence,corruption .

  Tuna hitaji strong leadership kuinusuru nchi yetu,hasa kwa drugs etc,maana tukishindwa sasa tutapay the price.

  UHAMIAJI:Nyimeni hawa watu visa na residency
   
 2. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  cocaine ni sumu,wao wenyewe hawatumia
  wamesambaratisha familia nyingi hapa south africa
  wao wanaona kama ni kazi halali
  hawajui watalipa kabla ya kuondoka ulimwengu huu
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,437
  Likes Received: 19,792
  Trophy Points: 280
  Lowasa nilimuona,hana exposure kabisa hawajui hawa watu..then ndio tumpe urais?? wtf
   
 4. d

  doctore. Member

  #4
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wale jamaa ni hatari sana
  sijui wametoa wapi tabia za kishetani vile.
   
 5. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #5
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Ndugu yangu wanigeria wapo mil. 150...watakula wapi au watapata wapi hela halali wakati serikali yao ni kama yetu... subiri na sisi tuwe mil 100 uone kama hatujawa mahayawani kuliko hao wanigeria!
   
 6. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #6
  Jun 19, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  mkuu umeongea ukweli hawa jamaa hawafai yaani kila nchi wanayoingia wanaharibu makanisa ndio usiseme na wanapata waumini kibaqo pia hawakawii kuoa waumini na baadae kutelekeza watoto mie binafsi siwafagilii kabisa nashangaa bongo tunawaheshimu hawa jamaa eti sababu tu wanaongea kiingereza!
   
 7. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #7
  Jun 19, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,275
  Trophy Points: 280
  Hii thread ina mapungufu ya kifikra, ni sawa kila mfuga madevu tumuone ni mfuwasi wa Osama, na kila mhaya ni muuza uchi, na kila mzungu ni binadamu mwenye roho nzuri, hii thread imekosa vision.


  [h=1]Philip Emeagwali[/h] From Wikipedia, the free encyclopedia

  Philip Emeagwali (born in 1954) is a Nigerian -born engineer and computer scientist/geologist who was one of two winners of the 1989 Gordon Bell Prize, a prize from the IEEE, for his use of a Connection Machine supercomputer to help analyze petroleum fields.

  [TABLE="class: toc"]
  [TR]
  [TD] [h=2]Contents[/h] [hide]


  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [h=2][edit] Biography[/h] Emeagwali was born in Akure, Nigeria on 23 August 1954.[SUP][1][/SUP] His early schooling was suspended in 1967 due to the Nigerian-Biafran war. When he turned fourteen, he served in the Biafran army. After the war he completed a high-school equivalency through self-study. He travelled to the United States to study under a scholarship after taking a correspondence course at the University of London.[SUP][citation needed][/SUP] He received a bachelor's degree in mathematics from Oregon State University in 1977. He worked as a civil engineer at the Bureau of Land Reclamation in Wyoming during this period. He later moved to Washington DC, receiving in 1986 a master's degree from George Washington University in ocean and marine engineering, and a second master's in applied mathematics from the University of Maryland.[SUP][2][/SUP]
  [h=2][edit] Awards[/h] Emeagwali received a $1,000[SUP][3][/SUP] 1989 Gordon Bell Prize, based on an application of the CM-2 massively-parallel computer for oil-reservoir modeling. He won in the "price/performance" category, with a performance figure of 400 Mflops/$1M, corresponding to an absolute performance of 3.1 Gflops. The other recipient of the award, who won in the "peak performance" category for a similar application of the CM-2 to oil-related seismic data processing, actually had a price-performance figure of 500 Mflops/$1M and an absolute performance of 6.0 Gflops, but the judges decided not to award both prizes to the same team.[SUP][4][/SUP][SUP][5][/SUP] Emeagwali's simulation was the first program to apply a pseudo-time approach to reservoir modeling.[SUP][6][/SUP]

  Apart from the prize itself, there is no evidence that Emeagwali's work was ever accepted for publication in the peer-reviewed scientific literature, nor that it had any other lasting impact on the field of high-performance computing or the development of the Internet.[SUP][7][/SUP] Neither does he hold any recognized patents for his results.[SUP][8][/SUP] (He does, however, own a US trademark for his website name, "EMEAGWALI.COM".)[SUP][9][/SUP] Nevertheless, Emeagwali was voted the "35th-greatest African (and greatest African scientist) of all time" in a survey by New African magazine.[SUP][10][/SUP] His achievements were quoted in a speech by Bill Clinton as an example of what Nigerians could achieve when given the opportunity.[SUP][11][/SUP] He is also a frequent feature of Black History Month articles in the popular press.[SUP][12][/SUP][SUP][13][/SUP]
  [h=2][edit] Court case and the denial of degree[/h] Emeagwali studied for a Ph.D. degree from the University of Michigan from 1987 through 1991. His thesis was not accepted by a committee of internal and external examiners and thus he was not awarded the degree. Emeagwali filed a court challenge, stating that the decision was a violation of his civil rights and that the university had discriminated against him in several ways because of his race. The court challenge was dismissed, as was an appeal to the Michigan state Court of Appeals.[SUP][14][/SUP]
  [h=2][edit] Disparaging Media Comment[/h] A news editorial published on October 18, 2010 by Sahara Reporters, a news agency, refuted all claims by Philip Emeagwali to his claimed success. The newspaper gave evidential and incisive details as to why he could never have achieved all self-described feats, including being the 'Father of the Internet'[SUP][15][/SUP]

  [h=2][edit] References[/h]

  Emeagwali is variously referred to as "a father of internet" not "the father of internet"
  [h=2][edit] External links[/h] [TABLE]
  [TR]
  [TD][​IMG][/TD]
  [TD]Nigeria portal
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD][​IMG][/TD]
  [TD]Computer science portal
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]


  Categories: 1954 births | African scientists | George Washington University alumni | Living people | Igbo scientific computing researchers | Igbo computer scientists | Nigerian scientists | Oregon State University alumni | Scientific computing researchers | People from Akure   
 8. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #8
  Jun 19, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Wewe unataka tumpe nani urais?H. Mwiny nini?kama hayo ndiyo mawazo yako umepotea,hapa hatuna utawala wa Kifalme pelekeni mtu wenu huko Znz akatawale na siyo hapa Tanganyika!Tanganyika itatawaliwa na watanganyika wenyewe!!bora fisadi kuliko mgeni!!!
   
 9. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #9
  Jun 19, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Makanisa mengi ya wanaigeria ni ya kuhifadhia unga, Kikwete anajisifia kuwa anadata za mapadri wanuza unga kumbe ni wanigeria na makanisa yao
   
 10. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #10
  Jun 19, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,275
  Trophy Points: 280
  Mkuu una mawazo mgando, ni nani aliyekudanganya kwamba rais ajaye atatoka ccm?
   
 11. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #11
  Jun 19, 2011
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Wasije wakampa ukga kuja nao bongo
   
 12. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #12
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Naona mada imeshabadilika sasa.
   
 13. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #13
  Jun 19, 2011
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Sijui unamaana gani ku-quote hii!Umeoa au umeolewa na Mnigeria?Tusazungumzia Wanigeria majority kuja Tz,Mnigeria target yake ni Ulaya,akishindwa huko ,ndio anakuja kwetu.
   
 14. Ghost

  Ghost JF-Expert Member

  #14
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 20, 2010
  Messages: 429
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Matola, embu rudi kwenye mada..hawa jama zetu wanatafuta maisha, kwao mambo sio shwari ndo wale unasikia kila week watu wamezama baharini kule afrika magharib wakijaribu kwenda ulaya.
  Ukimuona Mnigeria yuko E. Africa na hana kazi maalum...aisee jiulize mara mbilimbili anatafuta nini hasa? Jama matapeli na wana convincing power ya kufa mtu...Huko Sauzi wana powerful sydicates zilizoenda shule...
  Kaa mbali na hawa watu....
   
 15. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #15
  Jun 19, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,275
  Trophy Points: 280
  Kuna watu humu ni wafuata mkumbo, hata JK analijuwa hilo ni raia wake asilimia ngapi ni wafuata mkumbo, naomba sehemu nilizoziwekea Red uziedit ili thread yako iwe fair.
   
 16. f

  fazili JF-Expert Member

  #16
  Jun 19, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,192
  Likes Received: 404
  Trophy Points: 180
  Kama kweli Lowassa alikwenda nigeria basi kuna jambo la pembeni alilofuata na yawezekana nguvu za giza manake wahubiri wengi mno wa Nigeria ni watu wa nguvu za giza. Watu wengi wanafanya mambo haya chini ya mwanvuli wa safari mbalimbali, n.k
   
 17. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #17
  Sep 16, 2011
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Nilipoanzisha hii thread,Askofu huyu alikuwa hajanaswa na polisi,wale yule wa UBA.
   
Loading...