"DR" Kamala na Phd feki yake kwenda Ubelgiji kutuwakilisha!

mmakonde

JF-Expert Member
Dec 26, 2009
965
66
Ni embarrassment kwa mtu huyu kupewa ubalozi kwenye first world country na bado kujiita "DR" wakati kila mtu mwenye akili timamu anajua hii ni PHD feki kutupwa!
 
EDUCATIONS
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
Institute of Development Management- Mzumbe Advanced Diploma in Economic Planning (ADEP) 1992 1995 ADV DIPLOMA
Lincoln University MSc. (Organisational Systems) 1996 1997 MASTERS DEGREE
Humberside, Brandford University MSc. (Agricultural Development and Rural Finance) 1997 1998 MASTERS DEGREE
Mugana B Primary School Primary Education 1978 1981 PRIMARY
Rumuli Primary School Primary Education 1982 1984 PRIMARY
Bukoba Secondary School O-Level Education 1985 1988 SECONDARY
Ihungo Secondary School A-Level Education 1989 1991 HIGH SCHOOL
Commonwealth Open University PhD in Economics 2002 2004 PHD

Source: Bunge la bongo!
 
CommonWealth Open UniversityPhD (Management)20012003PHD
CommonWealth Open UniversityMSc. (Management)19992001MASTERS DEGREE
Mzumbe UniversityMBA (Finance & Banking)20012003MASTERS DEGREE
Institute of Development Management - MzumbeAdvanced Diploma in Administration19941997ADV DIPLOMA
Forest Hill Secondary SchoolA-Level Education19911993HIGH SCHOOL
Sangu Secondary SchoolSecondary Education19891990SECONDARY
Uru SeminarySecondary Education19871989SECONDARY
Oysterbay Primary SchoolPrimary Education19801986PRIMARY
CERTIFICATIONS
 
Ni embarrassment kwa mtu huyu kupewa ubalozi kwenye first world country na bado kujiita "DR" wakati kila mtu mwenye akili timamu anajua hii ni PHD feki kutupwa!

Mmakonde

Acha WIVU ndugu. Ungetaka upewe wewe? Dr. Deodorus B. Kamala siyo mwenizo na anao uwezo mkubwa tena sana. Alipokuwa Waziri wa Afrika Mashariki mbona hukuyasema haya? Kwani alishindwa kazi hiyo? Kwa taarifa yako, Belgium ni portifolio kubwa katika kada za balozi zetu nje. Ni sawa na Pretoria, New York na Addis. Na kesho anaapishwa na anatinga zake Brussels....WENYE WIVU JIWEKENI VITANZI....MKAJINYONGE, period!

Mhe. Rais, pokea pongezi nyingi toka kwa sisi tunaopenda mafanikio ya vijana wenzetu.

Hongera zako Dr. Kamala, na mwenyezi Mungu akubariki sana sana!
 
Ulikuwa unataka uende wewe. Wabongo wivu utatumaliza.
 
jiBU SWALI, KAMALA NI DR WA HALALI AU NDIO WALE WA KUJIBANDIKA KAMA NANIHII?
 
Ulikuwa unataka uende wewe. Wabongo wivu utatumaliza.

Wananchi walitegemea kuwa wangeteuliwa watu wenye elimu halali sio wenye degree za kubangaiza; kwa vile mkweree hajui tofauti ndio maana anafanya madudu!!
 
Huyu jamaa katajwa hata kwenye kitabu cha bwana Kainerugaba Msemakweli "mafisadi wa elimu Tanzania"
 
Kumbe phd yake ameipata open?2002-04,
EDUCATIONS
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
Institute of Development Management- Mzumbe Advanced Diploma in Economic Planning (ADEP) 1992 1995 ADV DIPLOMA
Lincoln University MSc. (Organisational Systems) 1996 1997 MASTERS DEGREE
Humberside, Brandford University MSc. (Agricultural Development and Rural Finance) 1997 1998 MASTERS DEGREE
Mugana B Primary School Primary Education 1978 1981 PRIMARY
Rumuli Primary School Primary Education 1982 1984 PRIMARY
Bukoba Secondary School O-Level Education 1985 1988 SECONDARY
Ihungo Secondary School A-Level Education 1989 1991 HIGH SCHOOL
Commonwealth Open University PhD in Economics 2002 2004 PHD

Source: Bunge la bongo!
 
Mmakonde

Acha WIVU ndugu. Ungetaka upewe wewe? Dr. Deodorus B. Kamala siyo mwenizo na anao uwezo mkubwa tena sana. Alipokuwa Waziri wa Afrika Mashariki mbona hukuyasema haya? Kwani alishindwa kazi hiyo? Kwa taarifa yako, Belgium ni portifolio kubwa katika kada za balozi zetu nje. Ni sawa na Pretoria, New York na Addis. Na kesho anaapishwa na anatinga zake Brussels....WENYE WIVU JIWEKENI VITANZI....MKAJINYONGE, period!

Mhe. Rais, pokea pongezi nyingi toka kwa sisi tunaopenda mafanikio ya vijana wenzetu.

Hongera zako Dr. Kamala, na mwenyezi Mungu akubariki sana sana!

Come-on man!!!! All Mmakonde wants is fairness. Hajasema anataka apewe hiyo position yeye. Kwa nini tunashindwa kuwa critical bila kuwa defensive muda wote? Anachouliza ndugu yetu aliyeleta mada hii ni kuwa inakuwaje hawa watu ambao wanashutumiwa na raia wanazawadiwa badala ya kunyanganywa? We have to develop a sense of fairness in this country. Kwa nini uongozi wetu unashindwa kufikiria hilo? Kuna waTanzania wangapi wanadiplomasia waliobobea ambao wanaweza kwenda kwenye hiyo ofisi ya Brussels badala ya huyu aliyepelekwa? Hakuna atakayelalamika kama fairness ingetumika. Kama unataka proof, uliza wale vijana wengine walioko pale Foreign Affairs wamekuwa wanangojea chance yao ya kutumwa kazi!!
 
Kwani Sifa ya Kuwa Balozi Ni PhD!
Kwa Taarifa yako Dr Kamala ni Mashine Usipime!
Rais haukukosea tena amechelewa kumpeleka!
Tuache wivu wa Kushule shule!
 
Kumpeleka Kamala Brussels Tanzania tumepoteza big time for sure .

Licha ya matatizo ya elimu yake lakini nlidhani alikuwa mtu wetu sahihi kwa serikali hii ya CCM kuwa mwakilishi wetu Kenya badala ya Batlida Burian.
 
Nyami 2010 una akili timamu?
Eti wivu kwa Kamala!!!

Fact ni kwamba ana Phd feki toka chuo ambacho hakina campus etc. Commonwealth Open University IS A BIG JOKE,jiulize kwa nini akina Nchimbi,Nagu na Kamala etc ,na sio wabunge wa Kenya & Uganda!
 
Mmakonde

Acha WIVU ndugu. Ungetaka upewe wewe? Dr. Deodorus B. Kamala siyo mwenizo na anao uwezo mkubwa tena sana. Alipokuwa Waziri wa Afrika Mashariki mbona hukuyasema haya? Kwani alishindwa kazi hiyo? Kwa taarifa yako, Belgium ni portifolio kubwa katika kada za balozi zetu nje. Ni sawa na Pretoria, New York na Addis. Na kesho anaapishwa na anatinga zake Brussels....WENYE WIVU JIWEKENI VITANZI....MKAJINYONGE, period!

Mhe. Rais, pokea pongezi nyingi toka kwa sisi tunaopenda mafanikio ya vijana wenzetu.

Hongera zako Dr. Kamala, na mwenyezi Mungu akubariki sana sana!
hujajibu hoja ya Mmakonde ambayo ni kuhusu PhD feki kwamba kitendo alichokifanya jk ni kibaya ni sawa na ku mreward mtu for committing criminal offense kumbuka hawa wote walipotajwa na msemakweli walisema wangemfikisha mahakamani akiwemo Mahanga kuwa wanakwenda mahakamani lakini mpaka hivi leo hawajafanya hivyo what does that tell you ?? what kind of message does jk send to society?? that it is ok to forge a certificate to get a job!!!. jibu hoja na sio kumshambulia mmakonde personal kumbuka hii.
ni issue ya public service na sio personal issue.
 
Nchi hii yani ujanja ujanja tu, that Commonwealth Open University is unaccredited entity yani aibu tupu! Their degrees are useless in many countries in the world. Mtu anasimama na kujiita Dr. kutoka katika chuo fake na watu wanachekelea tu na kumpa majukumu. Tumerogwa?[FONT=Verdana, Arial, Tahoma, Calibri, Geneva, sans-serif] [/FONT]
 
Back
Top Bottom