BlueJ installation

mmakonde

JF-Expert Member
Dec 26, 2009
966
0
Najaribu kuinstall bluej kwenye laptop yangu naona nimekwama.
Sababu:Set up cannot create file on directory c:\windows\temp.
Error 5:Access denied.
Nimesota kama 4 hrs ago kujaribu kuangalia tatizo,kusort out hili la temp files bila mafanikio.
nipeni msaada!
 

Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,286
2,000
Right click installation file chagua Run as Administrator.
 

Biohazard

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
2,152
2,000
Pole mkuu disable antivirus yako then fanya installation vizuri tu bila shida.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom